OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,574
Mimi mwenyewe nimechoka...ila nikaona niki comment nitawakwaza watu... yani kwenye ndoa ni kifo cha mende tuuuu....serious????
Kwanza yeye kaoa? ?!!!!
Au anasimulia tu kwa kudhani? ??!!!
Mimi mwenyewe nimechoka...ila nikaona niki comment nitawakwaza watu... yani kwenye ndoa ni kifo cha mende tuuuu....serious????
hamna bana huyohuyo till dc tym
interesting! Kumbe haya mambo yanaweza anzia kokote na mkafika mbali
interesting! Kumbe haya mambo yanaweza anzia kokote na mkafika mbali
Ndo nawashangaa wanaoogopa, ngoja nijipange nije nitupe jiwe la gizani humu, naona uzalendo unanishinda..
tupa mkuu, mi pia ntatupa nione litampiga nan
We unaamini kuna kitu hakiwezekani hapa duniani? Ukikitana na mtu akakupa utundu wa sex ambao mmewe mkewe hataki kuupokea utaamini one nite stand inaweza kuchenji koz of yua life, trasti mii
One night stand....
iliniwehusha nkavua engagement ring nikamrudishia mwenye nayo
na wala sijutii kabisa!!!
unajua nini Eiyer? ni hivi,
mwanamke yeyote ambaye yuko kwenye ndoa, si rahisi kupewa ile mitindo huru ya mapenzi na ngono (sex free styles), hii ni kwa sababu tu ya kuweka heshima kwa mwanamke, na mwanamke nae anakuwa mouth shut ili asionekane malaya.. basi wote wanakuwa wamefunikwa na wingu la 'nani aanze'?..
mwisho wa siku, kila mtu ana fanya fanya tu ili mradi sex imefanyika..
Kazi inakuja pale mwanamke anapokutana na watu kama hawa.. Ndugu yangu Eiyer nakwambia, zile free style zote ambazo ziko sokoni na kwenye mikanda ya ngono na kila aina ya unyankuzi, basi hufanyika!
wanawake wanakunjwa viuno hao, migongo inageuzwa geuzwa hiyo, mtu anawekwa mtindo ambao utadhani kapigwa robber na john cena, lakini ndo ngono hiyo.. mwisho wa siku atafurahia ngono na kumuona mumewe 'boya' tu ukifananisha na yule jamaa wa from nowhere..
We unadhani hata kama ni mimi excel nimekutana na mwanamke tu tukafikiana negotitiation kulana, unadhani ntaweka uso wa huruma? ohoo.... I WILL KILL HER... MPAKA KESHO ANIKUMUBKE NA KUNIOTA!
by the way, mapenzi ya wanadoa wengi ni brutality tu! no freedom!
we mwana weee!
ahahhahahhahahahahaha usione ukadhani aseeh!
ndo mana huwa mnawaza wanandoa hawwna furaha enh!
better uingie ujue!
show zote!i mean zooooote mnazoamiani ni free styles sijui zinapigwa fresh tu!
msiwaze kabisa sababu zote za wanandoa kuchepuka ni kukosa freestyles tu!
kama kwa hiyo case ya Eiyer kimsingi inaanzia ndani ya mhusika!
hakufanya hiyo ngono kwa kuwa mumewe yuko chini ya kiwango!
ndo mana hakuhitaji mawasiliano zaid!
so wud be the case kama angehitaji wajuane zaid!
wakati mwingine ni ubazaaazi na umaamazi tu!
usiwachukulie watu poa dogo!
OLESAIDIMU mbn hujaniita blaza?
Eiyer alikuwa anategwa...huyo atakuwa married but available...one night stand ni accident ambayo ni vigumu kukuta mwanamke anaisimulia proudly unless amepinda...tofauti na wanaume ambao they can 'kiss and tell'...
Kwa anayekiri humu JF ntamuelewa kwani amejificha nyuma ya fake ID...
Sasa huyu anayekutana na kaka yangu Eiyer afu from nowhere anaanza kusimulia alivyo weak...anataka nini kama si kutongozwa...:angry:
Afu kwani one night stand definition yake lazima iwe na stranger? sidhani inaweza kuwa na mtu unayemjua ila mmekutana mazingira hatarishi mkajikuta mnafanya vitu ambavyo msingefanya...
Afu kibaya zaidi kwa mwanaume hiyo anakuwa alishasahau...wakati bidada anaendelea kutoa ushuhuda...nachomaanisha ni kuwa hii inaishia kuumiza wanawake kwa kuwa wana hisia wakati wanaume sex kwao ni mchezo kama soka...
one noon stand....Hivi na zile za mchana zinaitwaje?
we mwana weee!
ahahhahahhahahahahaha usione ukadhani aseeh!
ndo mana huwa mnawaza wanandoa hawwna furaha enh!
better uingie ujue!
show zote!i mean zooooote mnazoamiani ni free styles sijui zinapigwa fresh tu!
msiwaze kabisa sababu zote za wanandoa kuchepuka ni kukosa freestyles tu!
kama kwa hiyo case ya Eiyer kimsingi inaanzia ndani ya mhusika!
hakufanya hiyo ngono kwa kuwa mumewe yuko chini ya kiwango!
ndo mana hakuhitaji mawasiliano zaid!
so wud be the case kama angehitaji wajuane zaid!
wakati mwingine ni ubazaaazi na umaamazi tu!
usiwachukulie watu poa dogo!
OLESAIDIMU mbn hujaniita blaza?
hii imekaa kidot com zaid, sie wenye kufundwa tukafundika ni ngumu sn kufanya hayo makitu
yeeerrrr ni tamuuu sanaaaa i thank God naendelea kuinjoi till dis time woohhhh ile ni tit for tat