kabanga
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 37,518
- 18,889
Dah!!! Hivi, unalalaje na mtu hata humjui? (wakati mwingine hata majina hawatambulishani)..
..Kweli kuna watu wana mioyo minene...!
ndio maaana ikaitwa 'one night stand'......
Dah!!! Hivi, unalalaje na mtu hata humjui? (wakati mwingine hata majina hawatambulishani)..
..Kweli kuna watu wana mioyo minene...!
hujawahi wewe Chauro...?
Ni ipi tofauti ya "One Night Stand" na "Kumchukua Changudoa pale Q-Bar"?
Ni ipi tofauti ya "One Night Stand" na "Kumchukua Changudoa pale Q-Bar"?
yeeerrrr ni tamuuu sanaaaa i thank God naendelea kuinjoi till dis time woohhhh ile ni tit for tat
sawa....!Sijawahi nasidhani kama naweza sbabu bado kutokea mm nikikutazama tu nikaanza kuwaza unaweza kuwa hupigi mswaki vizuri kama ni mtongozaji ntakutazama najichekea kumbe na yangu moyoni kwanza kuna ambao tunanuka majasho kama punda .....hii tuwaachie wenyewe wazoefu.
One night stand....
iliniwehusha nkavua engagement ring nikamrudishia mwenye nayo
na wala sijutii kabisa!!!
Hiyo inaitwa LOVE AT FIRST SIGHTUlipata wapi ujasiri wa kufanya hayo makitu na mtu ambae hata humjui?
Ni ipi tofauti ya "One Night Stand" na "Kumchukua Changudoa pale Q-Bar"?
Haina tofauti kabisa
Umewahi ku iksipiriensi wote???!!!
Siwezi experience huo n umalaya tuu