One night stand ...

One night stand ...

Nadhani kila mwanamke anajua kuwa kuna siku kadhaa kwenye mwezi stimu zinakuwa juu...ila hiyo hali haina uhusiano na one night stand ...unless uwe si tu huna partner ila huna break as well (self control) lol


I am sure once in a while unakutana nayo ukubwani
only una handle better......
kuna research ilisema mzunguko wa yai la mwanamke unaweza mpa mitihani
kuna atraction zinakuja mwanamke yai likiwa limesimama tayari kwa kupokea mbegu...
wengi hawajui....[/QUOTE]
 
Back
Top Bottom