Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 77,215
- 165,817
I wish to c u,hata kwa ndoto yan!!!!!!
nkutumie nega yangu ukasafishe?
au wataka tuonane physically....
I wish to c u,hata kwa ndoto yan!!!!!!
yeeerrrr ni tamuuu sanaaaa i thank God naendelea kuinjoi till dis time woohhhh ile ni tit for tat
nkutumie nega yangu ukasafishe?
au wataka tuonane physically....
Ni uzinzi tu plus uasherati
Ww una mtu wako c umwambie km kweli unampenda kuwa hauridhiki
Evelyn salt ni mwanaume?
nilimkubali sana tu, hapana chezea one night stand
TRY IT AT YOUR OWN RISK
Never aisee, even if am a risk taker
one noon stand....
I had several one night stands ila sikubahatika kubanjuka hata mara moja katika zote hizo, ilikuwa one night stand ya kuongea kuhug na kuishia kukiss bass!! Ila ni raha sana maana mie huwa nabaki na kumbukumbu kichwani.
Ila kuna ile mtu milishawahi kubanjuana zamani na mkapotezana miaka mingi halafu mnakuja kukutana mazingira ya aidha safari ya kikazi au semina au kwenye harusi inayofanyika mkoa tofauti na unaoishi au msiba mmeenda kuzika mkoa tofauti na unaoishi na huko mnakuwa mmende wenyewe bila wenza...... inakuwa ngumu sana kukwepa mrejesho wa matukio ya kale. Ila ndo sijajua kama hiyo nayo ni one night stand au ni flash back........
tatizo hata sio kuridhika mama
yani kuna mtu unaweza kumuona tu ukawa kama umepigwa shot
jasho, kusisimka, kulegea, kuloana yani ni shida...
Aiseeeee Kumbe
hebu take hiyo risk kwangu, tuone itakuwaje....
Ushawahi kumpenda mtu mpaka ukawa unamkimbia badala ya kumkimbilia...? unakuwa na wasiwasi labda anakusoma mawazo yako...
ilishanitokea nikiwa teenager...nilimpenda rafiki best wa kaka yangu...ila alikuwa anapendwa na wengi (nadhani pia ni kwa kuwa alikuwa handsome afu kwao wako fresh sana; ila mimi sikupenda pesa yao...)
Basi kila akija home mie najificha...thank God hiyo ilinisaidia hakuwahi kunipitia...sasa hivi amekuwa lofa tu maana kichwani hakuwa na kitu...na mali za wazazi si za kutegemea...na kwa sasa u handsome hauonekani tena...
laiti kama angekujua then lol
Nadhani alikuwa na ethics...isingekuwa raisi kwake kunipenda mimi mdogo wa rafiki yake...na kaka zangu walikuwa wanoko urafiki ungeisha for sure...
Tatizo lilikuwa mimi na ilifika kipindi nikawa sijiamini ...niliogopa nikimuangalia atajua namuita...