One night stand ...

One night stand ...

Machangu ye aangalii km mtu anamjua ama hamjui yeye anachojali ni pesa tu

Sasa ww mtu hamjui hakujui unampa tu pupuchi km si umalaya ni nin

Ile ni "fair play" kwa wahitaji yaani ntu mmoja una nazi na ntu mwingine naye ana kibao mbuzi na wote mnahitaji tui so huo ndio nkatabaaaa!!!!
 
Ile ni "fair play" kwa wahitaji yaani ntu mmoja una nazi na ntu mwingine naye ana kibao mbuzi na wote mnahitaji tui so huo ndio nkatabaaaa!!!!

Hahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa ............!!!!!!!!!!!!!

Yaani nimecheka hadi machozi .....lol!!
 
Nipo na my one night stand hadi kesho....
sijui status ya u-one night ilichange au, make makubaliano ni kuonjeshana tu afu tusijuane
ila ndo bado naonja hadi sahivi


Basi huyo mwenye pete kidoleni hukumkubali, network ilikuwa inasearch!
 
Eiyer alikuwa anategwa...huyo atakuwa married but available...one night stand ni accident ambayo ni vigumu kukuta mwanamke anaisimulia proudly unless amepinda...tofauti na wanaume ambao they can 'kiss and tell'...

Kwa anayekiri humu JF ntamuelewa kwani amejificha nyuma ya fake ID...

Sasa huyu anayekutana na kaka yangu Eiyer afu from nowhere anaanza kusimulia alivyo weak...anataka nini kama si kutongozwa...:angry:

Afu kwani one night stand definition yake lazima iwe na stranger? sidhani inaweza kuwa na mtu unayemjua ila mmekutana mazingira hatarishi mkajikuta mnafanya vitu ambavyo msingefanya...

Afu kibaya zaidi kwa mwanaume hiyo anakuwa alishasahau...wakati bidada anaendelea kutoa ushuhuda...nachomaanisha ni kuwa hii inaishia kuumiza wanawake kwa kuwa wana hisia wakati wanaume sex kwao ni mchezo kama soka...

Naona umemaliza kila kitu hapo sina cha kuongezea zaidi.. naunga mkono hoja.,
 
Back
Top Bottom