Obugwa Izoba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 10,466
- 11,645
Ni nini sasa wakati ni watu tofauti?
hahaha... Sijui ni kwa interval ya mda gan lakn ni balaa
Ni nini sasa wakati ni watu tofauti?
Hainaga maandalizi ya kupanga tarehe, muda na mahali, inakukuta kwenye eneo ambalo huwazi kukutwa/kufumaniwa, sio ya kulazimishana umeamua mwenyewe na mara nyingi huwa na msukumo wa uhitaji ... uko heat na mbele yako kuna kitu ile roho inapendaga... kwa ujumla huwa iko tulivuuuuu na inakufanya uenjoy na kutamani iendelee.
Sure....ndani ya mwaka huu nimeshaziona topic mbili zimazofanana na hii. Moja title yake ilikuwa hivihivi na ilianzishwa na Nyani Ngabu na ya pili kichwa kilikuwa tofauti lkn content ni hii hii
amini hivyo honey, ile barabara isiyo na lami inayoanzia airport ndo kwao Eiyer.
Mi kwetu Nyakato bibie..!
Nina mpango wa kumnunulia pikipiki ile ndeeeefu kwa ajili ya kumrahisishia usafiri! lol.
Sijawahi hii makitu.....naogopa kabisa.Siwezi kubanjuka na mtu niliyemuona kwa siku hyo hyo
One night stand....
iliniwehusha nkavua engagement ring nikamrudishia mwenye nayo
na wala sijutii kabisa!!!
Hi topic ishaletwa humu siku chache zilizopita:
Naomba mods muunganishe huu uzi na ule mwingine............
Umezidi utoro na wewe Eiyer
huhuhuuu ni kweli imebadilika but it was from one night stand
Hahahaha umenifurahisha sana duh kumbe paroko wa igombe.Aaah kumbe sie ni majirani
Mbona humu watu wanaomba omba tu wakati hatujuanimmmmh..jamani...una enjoy na stranger? je, huogopi kuwa labda ana mission nyingine tofauti na hiyo ngono?
jaribu tu mkuu, hautajutia kujaribu kwako
Leo nimejikuta nashanga halafu nikadhani labda ni ushamba au ni kitu gani na hatimae nikajikuta nikiwaza kama ni haki ya mimi kushangaa au nahitajika kujishangaa
Kuna wadada wamekuja kazini kwangu wakihitaji huduma,katika kutoa huduma nikajikuta naingia kwenye maongezi nao na kama kawaida ya maongezi tuliongea mengi sana na hatimae tulijikuta tunaongelea mahusiano
Tulifikia kuzungumzia mahusiano ya aina mbali mbali na vimbwana vyake na ndipo dada mmoja aliponishangaza sana kwa kusema kuwa anamkumbuka jamaa mmoja hivi ambae walikutana safarini na walikuwa wanakwenda sehemu moja,katika maongezi walikuja kugundua kuwa wote ni wanandoa lakini kwakuwa walihitaji kulala mahali halafu kesho yake wafike walikokuwa wanakwenda walikubaliana kuburudika pamoja kwa usiku ule
Dada huyu akaniambia kuwa usiku ule ulikuwa ni wafaraja sana kwani "gem" alilopiga na jamaa lilikuwa balaa hadi huyu dada alitamani waendelee lakini kwa kuwa walikuwa wamekubaliana hata wasipeane mawasiliano ili kulinda ndoa zao hakuwa na jinsi
Dada anasema kuwa jamaa ni fundi sana na alikuwa kila akilala lazima kijindoto kipite,nilimuuliza kama kuna alichomzidi mumewe dada aliniambia kuwa karibu kila "engo" jamaa alimfunika mumewe kwenye suala zima la "gem"
Baada ya dada huyu na mwenzake kuondoka nilichukua muda kutafakari sana kama kunawezekana mtu akakutana kimwili na "mgeni" ambae hata hana hisia nae na akafurahia kabisa
Nimewahi kusikia kesi nyingi sana kuhusiana na "one night stand" na mabalaa yake kwenye kuvunja ndoa pale ambapo mtu anapoingia kwenye hatari ya kunogewa na kuliendeleza hata kwa kulazimisha,sijui hasa ni kunogewa au kunakuwa na kitu kingine hapo
Ninachojiuliza sana ni kama kuna uwezekano wa mtu kufurahia "one night stand" kwa kiasi hicho,binafsi siwezi kabisa na sijawahi kuwaza kuwa na hii kitu kwasababu mimi siwezi kufurahia faragha na mwanamke ambae sina hisia nae za upendo,kufikia hapo nikajiuliza labda huenda ni ushamba wangu wa kuwaza kizamani maana haya mambo ya one night stand hayapo kabisa kwenye mawazo yangu
Hivi uishawahi kuipata hii one night stand na ulihisi nini kipya au ndio mwishowe ni kujilaumu tu?
Hebu niambie,kwako inawezekana one night stand ikuwehushe kiasi hicho?
unajua nini Eiyer? ni hivi,
mwanamke yeyote ambaye yuko kwenye ndoa, si rahisi kupewa ile mitindo huru ya mapenzi na ngono (sex free styles), hii ni kwa sababu tu ya kuweka heshima kwa mwanamke, na mwanamke nae anakuwa mouth shut ili asionekane malaya.. basi wote wanakuwa wamefunikwa na wingu la 'nani aanze'?..
mwisho wa siku, kila mtu ana fanya fanya tu ili mradi sex imefanyika..
Kazi inakuja pale mwanamke anapokutana na watu kama hawa.. Ndugu yangu Eiyer nakwambia, zile free style zote ambazo ziko sokoni na kwenye mikanda ya ngono na kila aina ya unyankuzi, basi hufanyika!
wanawake wanakunjwa viuno hao, migongo inageuzwa geuzwa hiyo, mtu anawekwa mtindo ambao utadhani kapigwa robber na john cena, lakini ndo ngono hiyo.. mwisho wa siku atafurahia ngono na kumuona mumewe 'boya' tu ukifananisha na yule jamaa wa from nowhere..
We unadhani hata kama ni mimi excel nimekutana na mwanamke tu tukafikiana negotitiation kulana, unadhani ntaweka uso wa huruma? ohoo.... I WILL KILL HER... MPAKA KESHO ANIKUMUBKE NA KUNIOTA!
by the way, mapenzi ya wanadoa wengi ni brutality tu! no freedom!
One night stand....
iliniwehusha nkavua engagement ring nikamrudishia mwenye nayo
na wala sijutii kabisa!!!
Hivi nikikutongoza utakataa kweli?
Isiwe one night standing lakini, nataka four night sleeping!
Fanya maujanja acha kulala kwenye friji.. umekuwa nyanya wewe?
Hahahahaa..unakuta nimemkunja amekuwa kama kiwete..! ndo ghafla mme wake anatokea nadhani atazimia..hehe