mwallu
JF-Expert Member
- Sep 5, 2013
- 6,787
- 4,216
unapishana na bahati wewe.... changamkia fulsa
Fulsa? Sihitaji hiyo
unapishana na bahati wewe.... changamkia fulsa
Unaongelea enzi za mwalimu au waliooa kufuata mkumbo????!!?
yeeerrrr ni tamuuu sanaaaa i thank God naendelea kuinjoi till dis time woohhhh ile ni tit for tat
Eiyer alikuwa anategwa...huyo atakuwa married but available...one night stand ni accident ambayo ni vigumu kukuta mwanamke anaisimulia proudly unless amepinda...tofauti na wanaume ambao they can 'kiss and tell'...
Kwa anayekiri humu JF ntamuelewa kwani amejificha nyuma ya fake ID...
Sasa huyu anayekutana na kaka yangu Eiyer afu from nowhere anaanza kusimulia alivyo weak...anataka nini kama si kutongozwa...:angry:
Afu kwani one night stand definition yake lazima iwe na stranger? sidhani inaweza kuwa na mtu unayemjua ila mmekutana mazingira hatarishi mkajikuta mnafanya vitu ambavyo msingefanya...
Afu kibaya zaidi kwa mwanaume hiyo anakuwa alishasahau...wakati bidada anaendelea kutoa ushuhuda...nachomaanisha ni kuwa hii inaishia kuumiza wanawake kwa kuwa wana hisia wakati wanaume sex kwao ni mchezo kama soka...
mie nliwai kutana na mdada katumwa mboga sokoni hanijui wala cmjui lakn zari tu njiani stori stori mpk tukakubaliana twende gest tukapige show ya kibabe. vipi hiyo nayo ni ONE NIGHT STAND au
mmmh unaendelea kuinjoi hadi leo???
eeen sa hiyo sio one nyt stand... kuonjeshwa asali unataka kusepa na mzinga
ok nimekuelewa mkuu, one night ilipokukolea ikabid uendeleze manight night meng sasa sijui na huyo wa one night ya kwanza au
huhuhuuuu yako ilikuwa mchana so ni one noon stand
hahahaha!!! ingekuwa asubuhi? one morning stand???!! lol.
yeeerrrr coz ndio nilonaye mpaka leo kama zali la mentali vile
huhuhuuuuuu nishasepa na mzinga mbona
Mbona humu watu wanaomba omba tu wakati hatujuani
cha kuogopesha kipi hasa!!!!
uliiba mme wa mtu ww mtoto
hahaha haya hongera but si ushamzoea