Ona majina ya Wana-JF yanavyotengeneza habari

Ona majina ya Wana-JF yanavyotengeneza habari

what about SANOYET? I don't see him/her in the list!
 
kuna watu wana vipaji humu ndani ni hatareee ila hawajapata fursa............haya tund-zetu
 
Duh!Jumapili ya leo, mara hii tu Ngatelefijo, yaani Tabu tu. Shughuli za uchaguzi wa Diwani hapa kwetu ni ngumu kuliko kuandaa vikao @vya harusi. Hata maji ya kunywa kwa wasimamizi TUJITEGEMEE.
THAnk GOD, Raia Fulani, alikuwepo; akaja mbele yetu akasema " Nikiwa nyumbani, mimi kama baba WATOTO lazima nitoe Mtazamo Wangu mapema. Katika hali hii ya leo, never give @up! Ritz ameleta Kituko, tusimwache. Yeyote mpingauonevu asilale usingizi wa pono sasa. MIUNDOMBINU si mizuri, tupambane Mpaka Kieleweke so as to Rich the BEST. jua kali sawa, lakini tusicheze na Kaa la Moto. Tangu mageuzi1992 kuna watu hawakulala na sisi tusilale. Wababa msiache kulinda kura. Hatuhitaju mtu wa kwenda kutengeneza miradibubu, tunahitaji Mzalendo mpingauonevu na MCHukia Mikataba FEKi. Ngalikivembu, nenda kwa mmbangifingi kachukue SOSeji watu8 wale. TECHMAN chukua laptop andaa Database ya kura zote. Jamani, 2simamesote kupambana, Mpiganaji 2 kaangalie kisimani kunanini mbona watu wanakwenda huko. Na hawa Polisi, wakijitia kurusha bullet, Cha Moto watakiona, watajua kwanini nyanya MBIchi ni kiungo cha kachumbari."

....... Kuna mgao @wa umeme, simu itakata chaji....nitaendelea
 
Last edited by a moderator:
Majina magumu kama yangu Ngalikivembu?Any way usisahau na mimi kunitaja maana ya jina langu ni nani wakunililia nimebaki peke yangu.

Lako rahisi sana kutaja, ngoja watu walitengenezee habari.
 
Back
Top Bottom