Ona majina ya Wana-JF yanavyotengeneza habari

Ona majina ya Wana-JF yanavyotengeneza habari

Sista, let me give you a BREakingnews.
Do you Remember Iron Lady who was a neighbour of mango g at KUNANI PALE TGA? Today, she came into the office with @a Gift of Endangered @Specie from gombe,..not sokwe or chimpazee nor Nguchiro but was Mbuzi Mzee. When Zinduna saw them, she laughted amazingly "@Yo Yo". ....You know what, Rutashubanyuma immediately came and took a snap that he can keep in our office LIBRARY. At that time Indume Yene was Whispering with cheusimangala.
Last edited by Mnyamahodzo; 3rd February 2014 at 13:16.​

special
 
Loooh nimesahaulika jamani! Ila mmejitahidi kwa ubunifu vijana. Tumieni vipawa hivo mfike mbali
 
Nimejaribu kuanza kuandika visa habari kwa kutumia majina ya wana-JF. Tafadhali soma, angalia jina lako au la mwenzako lilivyitumika, furahi kisha nawe fanya mwendelezo.

Ni kama vile Sijali, na mimi nataka niwe MVUMBUZI. Ni baada ya kuwa Mfuatiliaji wa Jamiiforums, japo si MwanajamiiOne wala mkuuwakaya lakini ni Kiumbemwanadamu mtaratibuuuuuu.

Mimi mambo ya kumwagiana tindikalikali au kulishana MtamaMchungu na Mauza uza ya kuwa Invisible kama Jasusi, halafu Sometimes usiku wa Mbalamwezi anakuwa kama tototundu kuchukua inkosokaazi, UmkhontoweSizwe na ak47 kisha kupandia Kichuguu na kuwa Sniper sipendi. Sawa Ninaweza kufanya kama SILENT ACtOR au Msolopagazi na watu wakaniita Mndundu au Mtumishi Wetu lakini Wacha watu hatu kama ni watu8 wanione ni Mbangaizaji.

Najua Sikubaliki katika Yakuza kwani si Mr. Politician kama companero au MWANAKIjiji, wala si Polisi kama Chris Lukosi (japo alifukuzwa huko).

Mimi ni Mwafrika Halisi, MTAnzania Haswa yaani Mtanzania1, JituParaTupu, mwenye nguvu zaidi ya Yombayomba, wala si mwoga kama kautipe mpenda mchuzi wa kuku na kitumbua.

woyowoyo!!
Mwenzenu ni mwelimishaji nafanyakazi za Mentor, si Mwalimu wala Profesa, ni Mkulima WAKUNJOMBE, (si wa Mtu wa Pwani kama maralia Sugu) nimelima Kinyungu na mashamba, najua Duduwasha na NG'OTIMBEBEDZU na msadapadasi.

Hivyo Son of Africa na daughter, Mzee Mzima, Mamndenyi, Kadada pamoja Sabry001 na kadhalika wote karibu kwa mwendelezo wa habari tusichoke.

Hii ni kama kucheza computer-words game.


Nyongeza:


rev Masanilo akiwa na Jipu mgongoni lilisababishwa Mbu Sugu, alitoka Kiguu na njia kwenda Igwachanya akiwa na ThinkPad yake. Njiani akakutana na The Boss, yule Mtafiti Makini rafikiye Researcher wa MORIA, akiwa na Tumaini Jipya la kupata ushauri toka kwa senetor huyu wa Kinyerezi. Loh! Kumbe amekosea The Boss (Kweli ni Dr wa ukweli) lakini ni mtoto wa mjini mwenye kiingereza kama cha Mwita Maranya au Kiranga. Yaliyomkuta rev Masa, hatakagi kusimulia. Akiwa ni Mtumiabusara aliondoka kama Mwendabure au Mkulima wa kuku. Mbele kidogo kwenye mtaa kama wa kwamtoro, kando ya Zagazaga kadhaa alikutana na Mnyamahodzo (mwenye Mlengo wa Kati) na chief-mkwawa, yule mtaalamu wa Tekelinalokujia). Akawasalimia, kinehe Mwadila! . wakamjibu, Mwadila baba! chief-mkwawa, akauliza, The Priest mbona uko kama MkimbizwaMbio? Akamjibu, ni The Boss yule rafikiye Pdidy. Mnyamahodzo akauliza, Pdidy yule mnywa Tusker Bariiiidi? rev Masa akajibu, huyohuyo, mpenda Ngambo Ngali. Hao watu, basi tu.
Basi pakawa na maongezi marefu kidogo juu ya maswahibu yaliyomkuta.

Ilipotimu saa kenda alasiri, waliwaona @St. Ivuga na Zing wakishuka kwenye magari wakiwa na vifaa kadhaa tayari kwa mkutano wa hadhara. Kwa mbali walikuwapo Watu wengi wakiwemo wakina faizafox, Preta na @Husinyo wakinywa supu ya SANGARA. Rev Masa akawafuata, kwa sauti ya chini aliwaambia @M'hodzo na Chief, sasa ni Babylon. Mnyamahodzo alijipiga kifua na kusema, The last don. Ndipo Rev Masa kwa sauti kavu kavu akaanza kuhutubia " Hii ni SaHaRa Voice, Voice of Reason yenye kuleta TUMAINI. Habari za goodgud ambaye ni invicible na @Yumwema.
....Niliye mbele yenu si MpitaNjia, naipenda tanzania,....hata kama mkitaka niwe raisi wa paka..." mara likasikika
sauti ya mabomu booom!!
Mkuu unaonkana ni good artist maana hii story ukiisoma kwa makini inaonkana kama kuna picha ya tukio linalokuja mbl ya story yako....songa mbele baba tunga kitabu....inapobidi hata kurudia jina la mtu rudia ilimradi upat maana ya ujumbe unaotaka kufikisha au neon kukaa vizuri Big up.....Nyamahodzo
 
Back
Top Bottom