Ona majina ya Wana-JF yanavyotengeneza habari

Ona majina ya Wana-JF yanavyotengeneza habari

Yaani mkuu unapoteza muda wako wa uzalishaji mali kufanya madudu haya...dah I wish ungekuwa na familia na watoto wanaokutegemea...ada za shule etc etc!!!
nawewe kweli umepoteza muda wako wote huu kusoma madudu na ukacoment halafu utaendelea kucoment
 
Du wale uliowasahau wanafanana na we we maana jina lako limeshindikana kutengeneza habari hongera.
 
%kubwa ya waTz ni wehu,wenzako wanafikiria kuboresha technology wew unaumiza kichwa kuunganisha majina,s...t,,,upi,,,d
 
Watu mnajua kutiririka na mistari si mchezo.
 
Yaani mkuu unapoteza muda wako wa uzalishaji mali kufanya madudu haya...dah I wish ungekuwa na familia na watoto wanaokutegemea...ada za shule etc etc!!!

Stress za maisha mbaya sana. Hujui kuna muda wa kupumzisha akili??
 
%kubwa ya waTz ni wehu,wenzako wanafikiria kuboresha technology wew unaumiza kichwa kuunganisha majina,s...t,,,upi,,,d
wewe ambaye si mwehu basi usingepoteza your time and energy ku comment hapa! Jf is all about hard news,economy,politics,social,culture,funs,jokes,entertiment,education e.t.c;alltogether combined in critical thinking perspective. If you dont have flexible mind,you better go and hang yourself!
 
Back
Top Bottom