Ona huyu mchungaji anavyomwombea huyu mama!

Ona huyu mchungaji anavyomwombea huyu mama!

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,335
[h=2][/h]

siku%2Bza%2Bmwisho.jpg


​
 
Acha kudharirisha wachungaji mchungaji gani huyo?
 

Pastor Lesego Daniel is the General Overseer of Rabboni Centre Ministers in South Africa. The church is based at the Garankuwa TUT Campus at Pretoria. And if the reports by a whistle blower is anything to by, he ensures that members of his church eat grass. The whistle blower claims that the pastor ensured the act to prove a point that humans can be controlled by the spirit of God and can survive on whatever they choose to eat. As they eat, they are kicked, stepped upon and are said to be dead to touch during this. Photos are reportedly on the church's official Facebook page but are only accessible to members of the church.
 
picha ya comedy za akina masanja

kama hauamini basi ila kuna maajabu zaidi ya haya dunia hii kuna wachungaji wa ukweli na waongo,

fatilia jicho pevu uone pastor kanyari alivyokamatwa na camera za siri uko kenya,ingia youtube sasa
 
watu wengine wana imani za ajabu sana,wewe mtu anakulalia, anakukanyaga,au anakwambia ule nyasi kwamba ndo anakuombea na wewe unaamini tu kama zuzu, mwisho wa siku ndo yanakuja kuwapata kama yale ya Kibwetere wa Uganda aliyewaambia waumini wajifungie kanisani then wajichome moto ili waende kwa Mungu na kweli walivyokua mazuzu wakajichoma moto wakafa wote wakati aliyewaambia hivyo yeye wala hayumo humo kanisani, sasa sijui yeye hakutaka kumuona Mungu!!!
 
mimi ni mkristo siku mchungaji au kiongozi wa dini yangu akiniletea hizo nampa makonde na mbata za nguvu
 
kuna yule wa kenya anashika wanawake matiti kabisa,harafu kuna mwingine tena hapo hapo kenya amewaambia waumini wake wa kike wasivae chupi ili roho mtakatifu awaingie kwa urahisi

Ee bhana eeh duh na unakuta kanisa kama hili lina watu kibao.
 
Hawa ni wachungaji waongo tuu lakini wajinga ndo wanaenda huko
 
Huyuamajani walimfungamiakasabasijui kamalitoka
 
kuna yule wa kenya anashika wanawake matiti kabisa,harafu kuna mwingine tena hapo hapo kenya amewaambia waumini wake wa kike wasivae chupi ili roho mtakatifu awaingie kwa urahisi
Umezidisha chumvi waumini wasivae chupi kwa sababu gani weka ushahidi wa picha tuone .
 
Back
Top Bottom