Ona huyu mchungaji anavyomwombea huyu mama!

Ona huyu mchungaji anavyomwombea huyu mama!

Dada zenu ndo wanachofanyiwa hiki aiseey! bwana yenu yesu asifiwe.

Kwani mnakawia kutulipua angalia kidogo kupewa changamoto tena kwa kibonzo mnaua hamnazo ahadi za pepo kwa kuua. Akili za soli kabisa
 
Wengine hawa hapa wanaombewa ili wapate mabwana

B2yvnGJIcAAxCBw.jpg
 
Watu wana imani lakini hawajui namna ya kumpata huyo Mungu wa kweli, ndiyo maana ya mahangaiko
 
Wengine hawa hapa wanaombewa ili wapate mabwana

B2yvnGJIcAAxCBw.jpg
Sasa huyo hapo anawachagua? Mbona kama anawanusa? Au anawabusu? Naona huo ushetwani. Heri hata hayo manyumba wengeficha wakaonesha vifua
 

Pastor Lesego Daniel is the General Overseer of Rabboni Centre Ministers in South Africa. The church is based at the Garankuwa TUT Campus at Pretoria. And if the reports by a whistle blower is anything to by, he ensures that members of his church eat grass. The whistle blower claims that the pastor ensured the act to prove a point that humans can be controlled by the spirit of God and can survive on whatever they choose to eat. As they eat, they are kicked, stepped upon and are said to be dead to touch during this. Photos are reportedly on the church’s official Facebook page but are only accessible to members of the church.



Pastor Lesego Daniel stepping on the members.

Aaaaaaaw fuuuuck!
 
Sasa huyo hapo anawachagua? Mbona kama anawanusa? Au anawabusu? Naona huo ushetwani. Heri hata hayo manyumba wengeficha wakaonesha vifua

Huu ndio uhuru wa Charlie hebro utakiwao.
Udhalilishaji kama huu na serikali kweli hizi za Kiafrika zinashindwa kuwakamata hawa wadhalilishaji ?
Hii nadhani ni Nigeria sina uhakika lakini huko ndio kumefuturu kwa ujinga wa mitume . Hakika wana hitaji msaada.
Waafrica tutatawaliwa maisha kwa ujinga huu
 
watu wengine wana imani za ajabu sana,wewe mtu anakulalia, anakukanyaga,au anakwambia ule nyasi kwamba ndo anakuombea na wewe unaamini tu kama zuzu, mwisho wa siku ndo yanakuja kuwapata kama yale ya Kibwetere wa Uganda aliyewaambia waumini wajifungie kanisani then wajichome moto ili waende kwa Mungu na kweli walivyokua mazuzu wakajichoma moto wakafa wote wakati aliyewaambia hivyo yeye wala hayumo humo kanisani, sasa sijui yeye hakutaka kumuona Mungu!!!

Waumini wengi hawajifunzi NENO Wakawa na kitu cha kutegemea,wanapenda MANENO ya watumishi na ndio maana wanafikishwa huko.
 
Back
Top Bottom