Doppelganger
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 1,858
- 759
Haijawai tokea Mchungaji akavaa raba madhabauni. Hayo ni maigizo.
Hawa wanakula majani walikosa cha kula au mbwebwe za maombi ya shetani
Pastor Lesego Daniel is the General Overseer of Rabboni Centre Ministers in South Africa. The church is based at the Garankuwa TUT Campus at Pretoria. And if the reports by a whistle blower is anything to by, he ensures that members of his church eat grass. The whistle blower claims that the pastor ensured the act to prove a point that humans can be controlled by the spirit of God and can survive on whatever they choose to eat. As they eat, they are kicked, stepped upon and are said to be dead to touch during this. Photos are reportedly on the churchs official Facebook page but are only accessible to members of the church.![]()
Wewe ukienda madhabauni unaangalia mchungaji amevaa viatu gani ??Haijawai tokea Mchungaji akavaa raba madhabauni. Hayo ni maigizo.
Huyuamajani walimfungamiakasabasijui kamalitoka
kuna yule wa kenya anashika wanawake matiti kabisa,harafu kuna mwingine tena hapo hapo kenya amewaambia waumini wake wa kike wasivae chupi ili roho mtakatifu awaingie kwa urahisi
Hawa wanakula majani walikosa cha kula au mbwebwe za maombi ya shetani
Hii dunia anything is possibleAcha kutuletea picha za comedy unasema ni za maombezi!
Eti nini? Roho mtakatifu anafanyaje!
[h=2][/h]
![]()
[h=2][/h]
![]()
mchungaji kama huyu ni muhuni mkubwa anatakiwa kwenda kushtakiwa kwa udanganyifu wa kutumia jina la Yesu kupata pesa hao nao wanaokula majani hawana akili kabisa .angalia video yake youtube,aliwaambia anachakula kutoka kwa yesu,baadaye akawaambia watoke nje wakale hayo majani walitoka speed 120 kuwai kuyala harafu anawaambie eat eat eat kwa nguvu eti chakula kutoka kwa yesu wakati yeye wala hali.
kweli watu wa mungu wanaangamia kwa kukosa maarifa
huu uhuni kabisa unafanywa huko disco siyo kwenye nyumba ya Mungu .