Ombi: Unapomtokea Mwanamke Mueleze Ukweli

Ombi: Unapomtokea Mwanamke Mueleze Ukweli

Hahaha yani ni either uwe na pesa au umekutana na ex wako...ndo kidogo unaweza kufikiriwa
Haha yeah hela ndio kilainishi cha makali hapo, zikiwepo unaweza ukapewa kwa kigezo hiko tu. Hujamvutia kabisa but atleast you aren't broke!!!
 
Hahah umenikumbusha kuna bro wangu bhana ameoa anawatoto wawili akapata kimada kingine nje uko bhana siku moja akamuaga mke wake anaenda mahali ilikuwa jioni jioni akawasha zake gari huyo kumbe alikuwa anaenda kutambulishwa ukweni kwa kimada bhana hahaha kimada kikajua kimepata bwana kumne chenyewe ndio kimepatikana na mimba akapewa kumbe kimada mtaa anaokaa bro ndio baba ake anakaa huko ila yeye anakaa sehemu nyingine na bimkubwa wake sasa wanazengo wakayapata wacha wampigie mke wa bro (shemeji) wakamuweka chini wakamueleza kila kitu na alivyomtata sasa weee moto uliwaka na mzee wa kimada nae akaelezwa ukweli alaf mzee wa kimada ni mtu mkubwa aiseeee moto ukawa sehem zote [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bro nyumban hakukaliki mtaani ndio usiseme [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bro kakimbia nyumba maana mzee wakimada anamsaka alaf bro mjinga sana kumbe alidanganya kwa kimada wake kuwa mke wake ni shemeji yake yani mke wa kaka ake ambaye yuko mbele uko na wale watoto wake eet ni watotot wa kaka ake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aisee nilivyopewa hiii story baada ya kumuonea huruma nilicheka sana
Hahaaa!kaaah!
 
Lioneeeee[emoji57][emoji57][emoji57]
Rafiki sasa hivi kuna usafiri rahisi kabisa wa basi kutoka Zanzibar kuja Dar!
instaprincesss_Bw_6-HUlYdJ.jpeg
 
Back
Top Bottom