Ombi: Unapomtokea Mwanamke Mueleze Ukweli

Hii tabia unamtokea mtu unamdanganya uko single wakati una mke au mahusiano yenye furaha na amani ni UBINAFSI. Wewe utasema unanipenda kwa dhati ndio maana umeamua kunidanganya huwazi nitakavyoumia siku nikiujua ukweli?

Halafu utetezi wenu ni "Ooh bby nilijua nikikuambia ukweli utanikataa". Unaona kukukataa na kuniumiza moyo wangu Bora uniumize ili utimizie lengo lako?
Kwa dhati kabisa ya moyo wangu nawaomba mseme tu ukweli ili mtu ajue anajiingiza kwenye nini Kuliko unidanganye.

Mimi mwenyewe muhanga wa hili jambo na nilikua head over heals kwa huyu mkaka kumbe moyoni mwenzangu anajua kabisa mimi anapita ana mtu wake. Na baada ya kuujua ukweli akaanza kuniambia hana furaha na huyo mwanamke ananipenda mimi. Ila kwa jinsi nilivyompenda nilishindwa kuvumilia nikamwambia tuachane tu siwezi kukushare maan nilimwambia kama huna furaha achana nae uwe na mimi akashindwa. Niliumia mpaka nikaamsha vidonda vya tumbo siku hiyo namshukuru Mungu nimemove.

Rafiki yangu juzi tu kajua mtu aliempenda kwa mara ya kwanza toka apate akili ni mume wa mtu. Na alimdanganya eti hajaoa ana baby mama tu kumbe huyo baby mama ndio mkewe. Na alishamuuliza mwanzo akasema hana mahusiano ana mtoto tu ila yeye na baby mama hawana mahusiano. Mungu alivyo mwema last weekend wamekaa bar kaja mtu anaomba msamaha kwa jamaa kuwa alishindwa kuhudhuria harusi mbele ya rafiki yangu. Rafiki wa jamaa alivyondoka alimuapia rafiki yangu miungu yote kuwa hana mke na ndoa ilishindikana kufungwa halafu kwa sababu ya kijinga sijui kwanini rafiki yangu akamuamini. Sasa nikasikia tena jamaa kaoa nikamwambia rafiki yangu.
Kufupisha tu jamaa ni kweli ameoa na anaesema ni baby mama ndio mkewe nae utetezi wake hakutaka kusema alivyomuona rafiki yangu kwa kuwa aangemkataa ila anampenda.

Mwingine mpaka Pete kavalishwa na mchumba wa mtu na jamaa anaoa week ijayo anamuacha mwenzie na mtoto na aibu ya kupeleka mchumba ambae alikua na mtu mwingine.

Ukijijua huna mpango na mtu mwambie ukweli mtuepushie maumivu makubwa wengine kupenda kwetu kwa bahati tukipenda tunapenda kweli sasa kukaa na kugundua wewe ni side chick kwa bwana wa mtu inauma sana.

Samahanini kwa gazeti ila nimesisitiza na hivyo visa viwili kukazia maombi yangu kwenu. MTUONEE HURUMA na mioyo yetu.
Dada umelia sana jamani, pole. Tatizo binadamu hatueleweki, mwanaume anaweza kumtulivu lakini mwanamke akawa masikio juu juu kama dish za satellite receiver hivyo hivyo mwanamke akawa cool halafu mwanaume ni mdanganyifu. . Matokeo tunaua imani kati yetu kiasi kwamba hata tuliotulia tunaoneka ni wasumbufu pia, lakini kumbe kwenye kundi la watu 1,000 kuna watano wenye nia thabiti. Kwahiyo hapo akili kukichwa aidha uwadate watu wote hao 1,000 mpaka umpate mtu makini au ufanye kumchagua mmoja tu kati yao. Lakini kuna wengine ni waaminifu isipokuwa baadhi yetu ndiyo wanasabisha wanaume wote tuonekane tuna tabia za hovyo hovyo "in Makonda's voice".
 
Sasa si mnapenda Iphone XS Max mtazipataje bila kupigwa saundi matata
 
Hii tabia unamtokea mtu unamdanganya uko single wakati una mke au mahusiano yenye furaha na amani ni UBINAFSI. Wewe utasema unanipenda kwa dhati ndio maana umeamua kunidanganya huwazi nitakavyoumia siku nikiujua ukweli?

Halafu utetezi wenu ni "Ooh bby nilijua nikikuambia ukweli utanikataa". Unaona kukukataa na kuniumiza moyo wangu Bora uniumize ili utimizie lengo lako?
Kwa dhati kabisa ya moyo wangu nawaomba mseme tu ukweli ili mtu ajue anajiingiza kwenye nini Kuliko unidanganye.

Mimi mwenyewe muhanga wa hili jambo na nilikua head over heals kwa huyu mkaka kumbe moyoni mwenzangu anajua kabisa mimi anapita ana mtu wake. Na baada ya kuujua ukweli akaanza kuniambia hana furaha na huyo mwanamke ananipenda mimi. Ila kwa jinsi nilivyompenda nilishindwa kuvumilia nikamwambia tuachane tu siwezi kukushare maan nilimwambia kama huna furaha achana nae uwe na mimi akashindwa. Niliumia mpaka nikaamsha vidonda vya tumbo siku hiyo namshukuru Mungu nimemove.

Rafiki yangu juzi tu kajua mtu aliempenda kwa mara ya kwanza toka apate akili ni mume wa mtu. Na alimdanganya eti hajaoa ana baby mama tu kumbe huyo baby mama ndio mkewe. Na alishamuuliza mwanzo akasema hana mahusiano ana mtoto tu ila yeye na baby mama hawana mahusiano. Mungu alivyo mwema last weekend wamekaa bar kaja mtu anaomba msamaha kwa jamaa kuwa alishindwa kuhudhuria harusi mbele ya rafiki yangu. Rafiki wa jamaa alivyondoka alimuapia rafiki yangu miungu yote kuwa hana mke na ndoa ilishindikana kufungwa halafu kwa sababu ya kijinga sijui kwanini rafiki yangu akamuamini. Sasa nikasikia tena jamaa kaoa nikamwambia rafiki yangu.
Kufupisha tu jamaa ni kweli ameoa na anaesema ni baby mama ndio mkewe nae utetezi wake hakutaka kusema alivyomuona rafiki yangu kwa kuwa aangemkataa ila anampenda.

Mwingine mpaka Pete kavalishwa na mchumba wa mtu na jamaa anaoa week ijayo anamuacha mwenzie na mtoto na aibu ya kupeleka mchumba ambae alikua na mtu mwingine.

Ukijijua huna mpango na mtu mwambie ukweli mtuepushie maumivu makubwa wengine kupenda kwetu kwa bahati tukipenda tunapenda kweli sasa kukaa na kugundua wewe ni side chick kwa bwana wa mtu inauma sana.

Samahanini kwa gazeti ila nimesisitiza na hivyo visa viwili kukazia maombi yangu kwenu. MTUONEE HURUMA na mioyo yetu.
Wanawake especially wa bongo wanapenda maneno matamu na maneno matamu mengi ya nakuwa ya uongo.. Ushawah kuona mwanasiasa anapiga kampeni na kusema mimi Nia yangu kubwa ya kupata ubunge ni huu mshahara wa 12m kwa mwezi na connection za kujiendeleza kibiashara (never going to happen) ata sema nataka niwatumikie, niwaletee huduma muhimu.

Tatizo wanawake mkiambiwa ukweli hamuwezi kukubali, kazi ya ku approach sio kazi ndogo
Mwanaume ni muwindaji siku zote, muwindaji ana dhana zake za mawindo ana mitego, it's your job kujua mitego not ours
We mwanaume akikwambia dada una makalio mazuri nimekutamani tu nataka nionje hiyo papuchi ata japo mara mbili tatu, utampa?
Most likely not, sisi tutaendelea na mawindo yetu kwa techniques zetu kulingana na wanawake tunao wa approch.
Nachoshauri wanawake kama hamtaki kuchezewa wait till marriage ndio ugawe, but once you decide to play the game, it's an open field, ni kama kamari anything can happen... You might find a husband, a sponsor au mpitaji tu(wale wazee wa love them n leave them)
 
Na wewe ulimwambia ukweli wako wote?

Pambana na hali yakoooo kijana wacha ubazazi tulia na mkeo.....

Kuna mpuuzi mmoja wiki iliyopita alinitokea nilimuuliza una mke!! Akaanza kujiumauma nikamwambia usinichekee sitaki kuchekewa kwenye hili kama una mke sema ....akajibu ndio ninae lakini usimfikirie yeye jali kuhusu Mimi na wewe hiiiiiiiiii nikaona anataka kunitia ujinga nkamwambia hiyo biashara baba hapana we kaa na mkeo tu mambo yasiwe mengi
[emoji39][emoji39]
 
Alikuwa hana mkwanja wakutosha huyo, angekuwa ana push Range Velar la 2019, stori Ingekuwa tofauti kidogo
 
Wanawake especially wa bongo wanapenda maneno matamu na maneno matamu mengi ya nakuwa ya uongo.. Ushawah kuona mwanasiasa anapiga kampeni na kusema mimi Nia yangu kubwa ya kupata ubunge ni huu mshahara wa 12m kwa mwezi na connection za kujiendeleza kibiashara (never going to happen) ata sema nataka niwatumikie, niwaletee huduma muhimu.

Tatizo wanawake mkiambiwa ukweli hamuwezi kukubali, kazi ya ku approach sio kazi ndogo
Mwanaume ni muwindaji siku zote, muwindaji ana dhana zake za mawindo ana mitego, it's your job kujua mitego not ours
We mwanaume akikwambia dada una makalio mazuri nimekutamani tu nataka nionje hiyo papuchi ata japo mara mbili tatu, utampa?
Most likely not, sisi tutaendelea na mawindo yetu kwa techniques zetu kulingana na wanawake tunao wa approch.
Nachoshauri wanawake kama hamtaki kuchezewa wait till marriage ndio ugawe, but once you decide to play the game, it's an open field, ni kama kamari anything can happen... You might find a husband, a sponsor au mpitaji tu(wale wazee wa love them n leave them)
Sawa endeleeni
 
Hii tabia unamtokea mtu unamdanganya uko single wakati una mke au mahusiano yenye furaha na amani ni UBINAFSI. Wewe utasema unanipenda kwa dhati ndio maana umeamua kunidanganya huwazi nitakavyoumia siku nikiujua ukweli?

Halafu utetezi wenu ni "Ooh bby nilijua nikikuambia ukweli utanikataa". Unaona kukukataa na kuniumiza moyo wangu Bora uniumize ili utimizie lengo lako?
Kwa dhati kabisa ya moyo wangu nawaomba mseme tu ukweli ili mtu ajue anajiingiza kwenye nini Kuliko unidanganye.

Mimi mwenyewe muhanga wa hili jambo na nilikua head over heals kwa huyu mkaka kumbe moyoni mwenzangu anajua kabisa mimi anapita ana mtu wake. Na baada ya kuujua ukweli akaanza kuniambia hana furaha na huyo mwanamke ananipenda mimi. Ila kwa jinsi nilivyompenda nilishindwa kuvumilia nikamwambia tuachane tu siwezi kukushare maan nilimwambia kama huna furaha achana nae uwe na mimi akashindwa. Niliumia mpaka nikaamsha vidonda vya tumbo siku hiyo namshukuru Mungu nimemove.

Rafiki yangu juzi tu kajua mtu aliempenda kwa mara ya kwanza toka apate akili ni mume wa mtu. Na alimdanganya eti hajaoa ana baby mama tu kumbe huyo baby mama ndio mkewe. Na alishamuuliza mwanzo akasema hana mahusiano ana mtoto tu ila yeye na baby mama hawana mahusiano. Mungu alivyo mwema last weekend wamekaa bar kaja mtu anaomba msamaha kwa jamaa kuwa alishindwa kuhudhuria harusi mbele ya rafiki yangu. Rafiki wa jamaa alivyondoka alimuapia rafiki yangu miungu yote kuwa hana mke na ndoa ilishindikana kufungwa halafu kwa sababu ya kijinga sijui kwanini rafiki yangu akamuamini. Sasa nikasikia tena jamaa kaoa nikamwambia rafiki yangu.
Kufupisha tu jamaa ni kweli ameoa na anaesema ni baby mama ndio mkewe nae utetezi wake hakutaka kusema alivyomuona rafiki yangu kwa kuwa aangemkataa ila anampenda.

Mwingine mpaka Pete kavalishwa na mchumba wa mtu na jamaa anaoa week ijayo anamuacha mwenzie na mtoto na aibu ya kupeleka mchumba ambae alikua na mtu mwingine.

Ukijijua huna mpango na mtu mwambie ukweli mtuepushie maumivu makubwa wengine kupenda kwetu kwa bahati tukipenda tunapenda kweli sasa kukaa na kugundua wewe ni side chick kwa bwana wa mtu inauma sana.

Samahanini kwa gazeti ila nimesisitiza na hivyo visa viwili kukazia maombi yangu kwenu. MTUONEE HURUMA na mioyo yetu.
I feel this asee, sidanganyi tenaaa
Kuna mtu umemuokoa kwenye hilo janga,
 
I feel this asee, sidanganyi tenaaa
Kuna mtu umemuokoa kwenye hilo janga,
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Ashukuriwe bwana wa majeshi
 
Mwanamke gani leo anataka umwambie ukweli? Wengi wanataka kudanganywa tu.
Ni wanawake wachache sana ambao wanaweza kuusikia ukweli wako na wakakuelewa.
 
Back
Top Bottom