Mlolongo
JF-Expert Member
- Jul 4, 2019
- 3,285
- 5,919
Bro mbona unajifanya kama hujui.Labda nikupe namba ya jamaa wa tanga. Ila ukweli paypal bila kuwa na docs siyo reliable kabsa siku wakiipiga pin imekula kwako. Labda nikuulize unataka acc ya paypal uifanyie nini. Jibu lako linaweza kusaidia kukupa mawazo mbadara
Tunahitaji kuwa na account ya PayPal kuweza kufanya malipo na kupokea pesa kutoka nje. Sasa unavouliza eti unataka acc uifanyie nini ni kama unaleta kebehi