Ombi kwa Serikali: We need Paypal

Ombi kwa Serikali: We need Paypal

PayPal Wana customer care mbovu sana, hawakawii kukupa namba ya Marekani uwapigie,
Yani imebidi nikae kmya wakiamua iachia wataiachia kama hawataki basi nimekubaaliana ma matokeo
Screenshot_20210322-085910.png
 
Sijaona mtu anasema tuwe na Paypal replacement ya kwetu ambayo itakubalika nje kama sehemu ya malipo. Tatizo ni nini?
Tatizo mtaji, haiwezekani uanzishe kampuni wewe hohehahe thamani yako labda milioni 10 then mtu atumie kupitisha mamilioni ya pesa. Paypal inaanzishwa 98/99 ina thamani ya 1.5B usd kama trilioni 3 za kwetu ikiwa na Backup ya kina Elon Musk, eBay etc.

Kwetu TZ pia tuna Kina Selcom, max malipo etc ni same concept lakini unafkiri mtu kama MO ama Bakhresa a naweza fanya issue serious kupitia kwao? Unless wa raise mtaji, wakiwa na Hela ya kutosha kudeposit Bot basi project Kubwa nazo pia zinapitia, hakuna mtu anaetaka kurisk hela yake kwa no name company.
 
Naona max malipo kama imeshakufa hivi mkuu,hao selcom naona ndio bado wako na nahisi owners wake watakua matajiri sana mkuu.
 
Tatizo mtaji, haiwezekani uanzishe kampuni wewe hohehahe thamani yako labda milioni 10 then mtu atumie kupitisha mamilioni ya pesa. Paypal inaanzishwa 98/99 ina thamani ya 1.5B usd kama trilioni 3 za kwetu ikiwa na Backup ya kina Elon Musk, eBay etc.

Kwetu TZ pia tuna Kina Selcom, max malipo etc ni same concept lakini unafkiri mtu kama MO ama Bakhresa a naweza fanya issue serious kupitia kwao? Unless wa raise mtaji, wakiwa na Hela ya kutosha kudeposit Bot basi project Kubwa nazo pia zinapitia, hakuna mtu anaetaka kurisk hela yake kwa no name company.
Kweli mkuu... Ila wana customer care mbovu sana. Payoneer wako vzuri sema shida haitumiki kwa wengi kama paypal. Yank waliishikilia eti kwa saa 24 ili kuhakiki kama mtumaji ndo katuma, ikaachiwa mara baadae tena wakaishikilia kuwa mtumaj hakutuma yeye, kumchek akahangaika nao mpaka kufikia kunipa password za account yake ni close case. Sasa kwake case closed kwnagu sku ya tano bado imeshkiliwa
 
sisi kwa sisi tuna coloniwa na waafrika wenzetu,kwa huu mfumo umaskini hautaisha for sure.
 
Kweli mkuu... Ila wana customer care mbovu sana. Payoneer wako vzuri sema shida haitumiki kwa wengi kama paypal. Yank waliishikilia eti kwa saa 24 ili kuhakiki kama mtumaji ndo katuma, ikaachiwa mara baadae tena wakaishikilia kuwa mtumaj hakutuma yeye, kumchek akahangaika nao mpaka kufikia kunipa password za account yake ni close case. Sasa kwake case closed kwnagu sku ya tano bado imeshkiliwa
Sometime unaombea tu hizi cryptocurrency zienee Duniani ili huu ukiritimba uishe.
 
Hii nchi kwa upande wa kwenda na teknojia tuko nyuma sana,hakuna aliye tayari kuieleza serikali kuwa mazingira ya kuingiza pesa mtandaoni lazima yaboreshwe kama kweli tunataka kuifanya jamii yetu kuwa ya furaha
 
Ninataka kununua simu kwa kupitia Alibaba, jumla ni $183 kama Tzs 435,000. Kwa Wajuvi wa mambo, Nina maswali mawili, kwanza naweza kulipa kwa tigopesa? Niliwahi kusikia kuwa tigo wanayo hio huduma. Nawezaje kujiunga?

Pili, Ushuru wa simu kwa 435,000/ waweza kufikia bei gani?

Natanguriza shukulani
 
Tumia virtual mastercard ya Vodacom.

Ushuru wa simu hio utakua:435,000×0.18/1.18=66,355.

Wataalamu wa haya mambo watakuja kunirekebisha kama nimekosea.
 
Ninataka kununua simu kwa kupitia Alibaba, jumla ni $183 kama Tzs 435,000. Kwa Wajuvi wa mambo, Nina maswali mawili, kwanza naweza kulipa kwa tigopesa? Niliwahi kusikia kuwa tigo wanayo hio huduma. Nawezaje kujiunga?

Pili, Ushuru wa simu kwa 435,000/ waweza kufikia bei gani?

Natanguriza shukulani
Unaweza kulipia kwa Mpesa or AirtelMoney MasterCard. Tigo nadhani iko supported sehem kma kikuu na sio Aliexpress.
 
Mkuu nawezaje kupata line ya kenya
Labda nikupe namba ya jamaa wa tanga. Ila ukweli paypal bila kuwa na docs siyo reliable kabsa siku wakiipiga pin imekula kwako. Labda nikuulize unataka acc ya paypal uifanyie nini. Jibu lako linaweza kusaidia kukupa mawazo mbadara
 
Back
Top Bottom