Ombi kwa Serikali: We need Paypal

Labda nikupe namba ya jamaa wa tanga. Ila ukweli paypal bila kuwa na docs siyo reliable kabsa siku wakiipiga pin imekula kwako. Labda nikuulize unataka acc ya paypal uifanyie nini. Jibu lako linaweza kusaidia kukupa mawazo mbadara
Bro mbona unajifanya kama hujui.
Tunahitaji kuwa na account ya PayPal kuweza kufanya malipo na kupokea pesa kutoka nje. Sasa unavouliza eti unataka acc uifanyie nini ni kama unaleta kebehi
 
Kufanya malipo haina shda, kupokea pesa kutoka nje inategemea unapokea pesa kutoka kwa nani, rafiki, biashara, freelancing ndiyo maana nmeuliza labda shida yake inaweza kutohitaji paypal
 
nadhani systems kama hizi hua zina changamoto pale wahalifu wakijichanganya humo humo

ila upande wa pili wa shilingi, ni wazo zuri na serikali inafaa kuangalia fursa hii!
 
Kenya wameruhusu Payapal. Tanzania inaizidi nini Kenya? Afrika mashariki nchi ni Kenya tu. Hizo zingine ni mifano ya nchi
Uhalifu, unaujua au unausikia? Duniani hakuna pesa ya bure.
Kenya wanatumia PayaPal mpaka sasa. Money laundering imetokea? Lugha ya kiswahili, ni lugha ya watumwa nahisi ndiyo maana mtumwa huwa hataki maendeleo. Kenya wanatumia kiingereza ndiyo maana wapo bright kama wazungu vile
nadhani systems kama hizi hua zina changamoto pale wahalifu wakijichanganya humo humo

ila upande wa pili wa shilingi, ni wazo zuri na serikali inafaa kuangalia fursa hii!
 
nadhani systems kama hizi hua zina changamoto pale wahalifu wakijichanganya humo humo

ila upande wa pili wa shilingi, ni wazo zuri na serikali inafaa kuangalia fursa hii!
Muhalifu bado ataweza fanya mambo yake vizuri tu hata bila paypal. Ni sawa sawa na kusema tuzuie watu kununua magari binafsi sababu wahalifu wanaweza kuyatumia kufanya ujambazi. Hyo sio point yenye mashiko
 
Shida pale kuna wazee wengi. Mbona Mpesa, Tigo pesa na Airtel zinaoperate bila shida yoyote.
Kama mtu anataka kufanya money laundering. Si anamtumia mtu wa Kenya mwenye Paypal, kisha anaweka kwenye Safaricom na anaituma Mpesa.
Hakuna pesa ya bure bila kuifanyia kazi.
Muhalifu bado ataweza fanya mambo yake vizuri tu hata bila paypal. Ni sawa sawa na kusema tuzuie watu kununua magari binafsi sababu wahalifu wanaweza kuyatumia kufanya ujambazi. Hyo sio point yenye mashiko
 
Waliiba bitcoin sembuse paypal?? Waalifu wapo na awaishi huu uzi naupigia NYUNDO aisee SERKALI watuletee paypal Dunia inabadilka wajameni kwann tunapenda kujfanya Local/analog wakat dunia iko digital
Tanzania nchi yangu lkn daah!
 
Muhalifu bado ataweza fanya mambo yake vizuri tu hata bila paypal. Ni sawa sawa na kusema tuzuie watu kununua magari binafsi sababu wahalifu wanaweza kuyatumia kufanya ujambazi. Hyo sio point yenye mashiko
ndio maana nikasema upande wa pili wa shilingi, kwa maana serikali itambue itasaidia zaidi jamii huku ikienda na wakati, uhalifu haukwepeki!

serikali nyingi huwa zinakuwa na wasiwasi pale hawana access ama jinsi ya ku monitor hizi systems. ingawa system zote hata zilizo kwenye mifumo na taratibu sahihi bado zina kasoro na uhalifu upo pale pale.
 
Anza kutumia skrill.
View attachment 1727557
Instantly fedha unaihamishia kwenye simu yako.

Mkuu mtandao gani unaruhusu kutoa pesa Skrill hapa Tanzania?
 
Naunga mkono hoja. Online jobs nyingi malipo kupitia paypal. Mzunguko wa paypal->safaricom->vodacom unachosha pamoja na transfer stage zote mbili ni hapo kwa hapo.
 
Back
Top Bottom