Ombi kwa Serikali: We need Paypal

Ombi kwa Serikali: We need Paypal

Kama shirika la posta na TTCL linavyokufa kwa kuwa na viongozi wazee
Sio viongozi tu hata baadhi ya watendaji wao ni wazee na hawana customer care nzuri hata kidogo ndio maana shirika lipo lipo tu.

Wiki iliyopita kwenye moja ya branch yao hapa hapa Dar nimeshangaa mteja nagombezwa na Bi Mkubwa mmoja hivi sijui ndio cashier wao ili nilipe line haraka ili tu eti awahi hospital nikasema duuh Shirika lina safari ndefu sana hata kama ni kuumwa basi si mchezo. President anapambana huko Shirika linyanyuke watu wanafanya mambo ya ajabu.

#WeNeedPaypal #TunatakaPaypal #TufunguliePaypal
 
Hii kitu tumepigia kele sana tangu zamani, katika vijana elf 1 ambao wangejiunga na mamia ya fursa zilizopo mtandaoni zinalipa watu kwa paypal, basi kuna watanania hata wawili wangekuwa wamepiga pesa za kutosha na kuinufaisha serikali kwa kodi ila pia hata kufanya familia zao ziishi maisha bora
 
Mimi juzi nimejichanganya tu wamepita na $308 baada ya kunambia niverify my identity 😂😂. Sema account nimeitumia muda mrefu sana nmepokea dollar zaid ya 6000. Nimewaachia Mungu anawaona
 
Sio viongozi tu hata baadhi ya watendaji wao ni wazee na hawana customer care nzuri hata kidogo ndio maana shirika lipo lipo tu.

Wiki iliyopita kwenye moja ya branch yao hapa hapa Dar nimeshangaa mteja nagombezwa na Bi Mkubwa mmoja hivi sijui ndio cashier wao ili nilipe line haraka ili tu eti awahi hospital nikasema duuh Shirika lina safari ndefu sana hata kama ni kuumwa basi si mchezo. President anapambana huko Shirika linyanyuke watu wanafanya mambo ya ajabu.

#WeNeedPaypal #TunatakaPaypal #TufunguliePaypal
Hii ni kweli kabisa kiongozi. Kuna watu kwenye hayo mashirika kma vile wamelazimishwa kufanya hyo kazi. Si waache waende kwao, kuna watu kibao wako mtaani wanataka hizo nafasi na wanaweza fanya hzo kazi kwa ufanisi. Hawana professionalism kabisa.
 
Mimi juzi nimejichanganya tu wamepita na $308 baada ya kunambia niverify my identity 😂😂. Sema account nimeitumia muda mrefu sana nmepokea dollar zaid ya 6000.
Anza kutumia skrill.
1615948331981.png

Instantly fedha unaihamishia kwenye simu yako.

Anza kutumia skrill.
View attachment 1727557
Instantly fedha unaihamishia kwenye simu yako.

Mkuu naitumiaga lakini client wangu wengine hawalipi kwa njia nyingine isipokuwa paypal. Mistake niliyofanya niliaccess account kwa devicea mbili tofaut at the same time time, halafu nikafanya transaction mpokeaj alipoipokea ikawa onhold for 24 hours so nikaincacel kwao wakasema ni kitu ambacho ni suspicious nitume tena docs
 
Sio viongozi tu hata baadhi ya watendaji wao ni wazee na hawana customer care nzuri hata kidogo ndio maana shirika lipo lipo tu.

Wiki iliyopita kwenye moja ya branch yao hapa hapa Dar nimeshangaa mteja nagombezwa na Bi Mkubwa mmoja hivi sijui ndio cashier wao ili nilipe line haraka ili tu eti awahi hospital nikasema duuh Shirika lina safari ndefu sana hata kama ni kuumwa basi si mchezo. President anapambana huko Shirika linyanyuke watu wanafanya mambo ya ajabu.

#WeNeedPaypal #TunatakaPaypal #TufunguliePaypal
Ofisi siku hizi niza vijana wenye elimu ya sasa hivi hao la saba la zamani miaka 58 wana utaalam gani sasa, elimu ya sasa hivi inaweza ikaitoa hapo ilipo na kuipeleka mbali waige mataifa ya ulaya wanavyoendesha mashirika yao ya posta sasa hivi huwezi amini Nilienda ujerumani nikakuta kituo cha posta ni kituo kinachokata tiket za mabasi makubwa ki electroniki na kuna huduma zingine ambazo sikutegemea kuwa zinaweza zikafanywa na posta. nilinunua ticket ya kutoka Bonn kwenda frankfurt kwa basi sikutumia treni ilikuwa safari nzuri sana. kulazimisha wazee ni kurudi nyuma maradufu hata kwenye maamuzi kama ofisi za sanaa, TCRA...hovyo kabisa. nenda DUBAI ma CEO wengi nisema 99% wana umri kuanzia 21-28 sasa fikiria maamuzi hapo yanakuwaje na elimu ikoje hapo
 
Hii kitu, ikiruhusiwa itanisaidia sana kufanya kazi kwa jitihada zote mtandaoni. Kuna fursa zinanipita
Tengeneza kwa kenya ila kuna muda utakula hasara. Mimi last week wamepita na zaidi ya lak saba, juzi tena wameishikilia 500$ mpaka sasa iko pending na sababu siijui. Mtumaji ashaconfirm kaituma mwenyewe siyo kimakosa kwake kesi imefungwa kwangu kes bado ipo 😂😂 Paypal wabaya sana
 
Pole sana kiongozi
Paypal ni njia rahisi ya kutuma na kupokea pesa na inatumiwa na watu wengi sana duniani. Shida BOT kuna wazee ambao hawajui lolote, hivyo hivyo TTCL. Mtandaoni kuna fursa nyingi sana, hii ingesaidia kupunguza tatizo la Ajira.
Wanafikiri wakiruhusu Paypal basi utakuwepo money laundry. Duniani kote, hakuna pesa ya bure, lazima uifanyie kazi. Youtube kufikisha subsctibe 1000 na watch hour 4000 siyo mchezo. Lazima upige kazi haswaa
Shida ya Tanzania, viongozi wameshazoea kuona kundi kubwa la vijana masikini ili wawatumie kwenye kupiga kura
Tengeneza kwa kenya ila kuna muda utakula hasara. Mimi last week wamepita na zaidi ya lak saba, juzi tena wameishikilia 500$ mpaka sasa iko pending na sababu siijui. Mtumaji ashaconfirm kaituma mwenyewe siyo kimakosa kwake kesi imefungwa kwangu kes bado ipo 😂😂 Paypal wabaya sana
 
Pole sana kiongozi
Paypal ni njia rahisi ya kutuma na kupokea pesa na inatumiwa na watu wengi sana duniani. Shida BOT kuna wazee ambao hawajui lolote, hivyo hivyo TTCL. Mtandaoni kuna fursa nyingi sana, hii ingesaidia kupunguza tatizo la Ajira.
Wanafikiri wakiruhusu Paypal basi utakuwepo money laundry. Dunia kote, hakuna pesa ya bure, lazima uifanyie kazi. Youtube kufikisha subsctibe 1000 na watch hour 4000.
Shida ya Tanzania, viongozi wameshazoea kuona kundi kubwa la vijana masikini ili wawatumie kwenye kupiga kura
Hakuna watu wako makini ni source ya pesa kama paypal. Nashangaa skrill inafanya kaz na hawako makini kama paypal. Sema siwaachi kuwatumia sina option
 
Wakuu hii inatosha na inakera sana. Sasa ni muda muafaka Serikali iruhusu transactions za mtandaoni kwanjia ya paypal maana tunapoteza na tunapitwa na vitu vingi na paypal ndo njia rahisi salama na pendwa inayotumiwa na makampuni mengi ya mitandaoni.

Hali ni tete maana tumeanza kuishi maisha ya tricks halafu inashangaza kwamba hawa TCRA na BoT hawalioni kabisa hili kama ni tatizo.
Blockchain teknology has solved most company now wanatumia crytocurent as means of payment. Wakulipe kwa bitcoin then nenda localbitoin uza unawekewa pesa yako hadi kwa mobilewallett kama mpesa tigopesa and so on.kikubwa waomba wakulipe kwa kutumia crytocurrent hasa bitcoin.
 
Siyo kila mtu anakubali, na makampuni unakuta wanalipa kwa Paypal tu. Pia localbitcoin nako kuna shida, watu wenye rates nzuri wanataka uverify details zako za paypal ziendane na vitambulisho vyako
 
Tengeneza kwa kenya ila kuna muda utakula hasara. Mimi last week wamepita na zaidi ya lak saba, juzi tena wameishikilia 500$ mpaka sasa iko pending na sababu siijui. Mtumaji ashaconfirm kaituma mwenyewe siyo kimakosa kwake kesi imefungwa kwangu kes bado ipo 😂😂 Paypal wabaya sana
PayPal Wana customer care mbovu sana, hawakawii kukupa namba ya Marekani uwapigie,
 
Back
Top Bottom