Ombi kwa Serikali: We need Paypal

Ombi kwa Serikali: We need Paypal

Izy_Name

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2020
Posts
1,061
Reaction score
2,555
Wakuu hii inatosha na inakera sana. Sasa ni muda muafaka Serikali iruhusu transactions za mtandaoni kwanjia ya paypal maana tunapoteza na tunapitwa na vitu vingi na paypal ndo njia rahisi salama na pendwa inayotumiwa na makampuni mengi ya mitandaoni.

Hali ni tete maana tumeanza kuishi maisha ya tricks halafu inashangaza kwamba hawa TCRA na BoT hawalioni kabisa hili kama ni tatizo.
 
Utaongea mpk uchoke hizo taasisi bado wamepewa wazee kazi bure!

Hakuna jipya wao badala wafanye wepesi ndo kwanza wanakandamiza watu wao! Ifike hatua wajitambue tumeshawachoka wao kwenda na upya huwa hawawezi nchi nyengine hizi tabu tupu!
 
haya mazee yanakera mkuu
 
Utaongea mpk uchoke hizo taasisi bado wamepewa wazee kazi bure!
Hakuna jipya wao badala wafanye wepesi ndo kwanza wanakandamiza watu wao! Ifike hatua wajitambue tumeshawachoka wao kwenda na upya huwa hawawezi nchi nyengine hizi tabu tupu!
Kama shirika la posta na TTCL linavyokufa kwa kuwa na viongozi wazee
 
Tulishachoka ni mwendo wa kufungua acc za kenya tu
 
Pole mkuu. Bado mfumo upo kwa wazee. Wenye mamlaka hawataki kabisa vijana tuiingizie mapato hii nchi online. Sijui tumewakosea nini. Wanataka tuendelee na mfumo wao wa 70's huko.

I wish aingie kiongozi mpya asafishe bodi yote tuanze upya kidijitali/Kisasa zaidi.
 
sio kwamba Ni mitandao ya simu( Mobile money) maana hata Kenya ni Partnerahip ya Thunes na Mpesa ndo Safaricom wanatumia hapa Tz nadhan inahitajika Some sort of a company au voda and any other Mobile Money provider wawe creative
 
mwisho wa siku lazima upate approval kutoka BOT na ndo hapo kikwazo kilipo
 
Twende na hizi tags huku tukiwatag wahusika everywhere. Haya let's go!

#WeNeedPayPal #TunatakaPayPal #TufunguliePayPal
wataelewa tu
Screenshot_20210308-225540.jpg
 
Watag wahusika otherwise unatupigia kelele
 
#WeNeedPaypal #TunatakaPaypal #TufunguliePaypal
 
sio kwamba Ni mitandao ya simu( Mobile money) maana hata Kenya ni Partnerahip ya Thunes na Mpesa ndo Safaricom wanatumia hapa Tz nadhan inahitajika Some sort of a company au voda and any other Mobile Money provider wawe creative
Kuna kipindi PayPal waliulizwa kwanini hawaruhusu transactions hapa Tz wakajibu kuwa policy zilizowekwa na BoT zinawazuia kufanya hvo. Ila hawakuspecify ni policy gani. Jua tu BoT ndio wamewabania
 
Back
Top Bottom