William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,588
- 10,375
Mzee Bob,
Maneno mengi unayosema hayana ubishi na ninaamini kijana JJ anahitaji watu kama wewe ili kuwa na giudance, maana hata hawa jamaa wa Mtandao pamoja na hela zao zote walizonazo, wanaelewa one thing very clear kuwa wasingeweza kuingia madarakani bila ya kuingia through CCM!, pamoja na vitisho vyao vyote kuwa wasingeshinda wangeingia Chadema, walijua wazi kuwa hawakuwa na ubavu wa kushinda nje ya CCM, sasa hivi chart yao imeshuka kwa sababu wananchi wajanja tayari wameshagundua kuwa hawana lolote, ni wale wale tu!
My point ni kwamba JJ sina uhakika kama ni kiongozi, lakini ninajua kuwa anayo skill muhimu ambayo inahitajika sana na upinzani bongo, nayo ni kwamba anaweza ku-communicate na wananchi, skill ambayo ni tatizo kubwa la mfanya biashara Free, sasa ni afadhali kuwa na kiongozi kama yeye ambaye angalau mnajua kuwa anaweza kuwaelimisha wananchi au wapiga kura, na pia anayeweza kuaminika na wapiga kura hata kama hana skills zingine hiyo moja inaweza ku-cover asizokuwa nazo, na the fact kwamba bado ni kijana!
Mzee Kimbembe,
(1). Acha hasira bro! tulia it is only politics halafu there is another day kesho, mimi niko hapa kama mwananchi yoyote yule anayeweza kuamua kuja hapa na kuijadili nchi yake, na kama tulivyosema toka BCS kuwa sio lazima wachangiaji wote tuwe wapinzani ndio demokracy iwe at work, HAPANA! Mimi ni mwananchi kama wewe na sio lazima niwepo hapa sasa kuwa muangalifu na maneno yako ya siasa za uchochoroni ambazo tumezisikia bongo for the last 44 years na hakuna lolote, kama una hasira kiasi hicho tafuta uongozi au nafasi ili ukatoe hasira zako, I got nothing to do na frustrations zako bro, kwa hiyo unapoandika andika kwa heshima kidogo, kumbuka kuwa wote tuko hapa kwa hiari!
(2). Umsema kwa nini wazee wa CCM, kina Kingunge na JM walikuwa wanamsakama Free, unajua nitarudia tena hili once and for all hawa wazee wawili they make their living kwa kuwashambulia kina Free politically, ni kazi ya JM kuuuwa upinzani kama ilivyo kazi ya makamu wa upinzani, unless hawaelewi wajibu wao kisiasa, halafu ninarudia tena kwenye vyama vyao hawa wazee na wengine they can say and do anything they want, ni matatizo ya vyama vyao sio taifa, kwa hiyo kama JM anasema ma-DC watafukuzwa au watanyongwa no body should lose a sleep ni matatizo ya ndani hayahusu taifa, kwa hiyo I could crae less what they do kwenye vyama vyao mpaka wakiingilia taifa!
(3). Kijana ngoja nikufahamishe, katika siasa za kila nchi kuna majina ambayo ni dominant na hata ufanye nini huwezi kukwepa ukweli, huwezi kuongelea Kenya bila Tom Mboya, huwezi kuongelea Zambia bila Vernon Mwanga, huwezi kuongelea Malawi bila Chiume, huwezi kuongelea Mozambique bila Gaubeza, sasa huwezi kuongelea siasa za bongo bila ya JM. Yes ninamuongelea maana influence yake katika siasa yetu ni kali kuliko unavyoafikiri, leo viongozi wote wa serikali na CCM, ni mawili either ni wa kambi ya JK au kambi ya JM, hakuna wa BM, hakuna wa Mwinyi, hakuna wa Mwalimu, hakuna wa Karume, I mean kwa huku bara! Sasa liking him or not haibadili ukweli na originally kambi ya JK imetokea kwa JM mpaka pale 1995 ndipo JK, RA, EL wakaanzisha Mtandao, lakin kwa kumuheshimu hata wakati wa uchaguzi at one point JK alimu-offer kumuachia one term ni kwa sababu ya kuelewa kuwa no matter what huyu mzee utakuta mkono wake na nchi haitawaliki bila ya kuwa naye sawa, huo ni ukweli Mwinyi aliukubali, Mwalimu aliukubali, BM na ujeuri wake wote aliukubali, na sasa JK ni yale yale, ndio maana Mtandao sasa hivi wanapigana sana yule mtoto wa JM kule NY, arudi ili aingie kwenye siasa kwa kuamini kuwa itamfanya huyu mzee aachie ngazi au ataweza kumshawishi aachie, sasa ukiamua kunichukia kwa sababu ninaishi kwa ukweli wa siasa ya bongo siwezi kukusaidia,
unajua ndugu yangu the man ni so influencial, yaani hata kuweka baraza kubwa la mawaziri ni ok yake tu ndiyo iliyoamua uamuzi wa mwisho bro! Sasa ukinichukia unanionea hiyo ndio siasa ya nchi yako, tena siasa ya mika 44 ya uhuru, sio chini ya mzungu! Ni chini ya wabongo kama wewe na mimi!
(3). CCM ilishinda kwa kura 80%, reaction ya viognozi wote wa upinzani ilikuwa kwamba wananchi ni wajinga, hawaelewi, I mean hata ukiiba kura huwezi kuiba 80%, halafu kama ni kweli wananchi hawamtaki JK, then wasingekuwa wanajazana kiasi tunchakiona kila anapopita bro!, huko NY bro ilikuwa mshike mshike pale ubalozini wananchi wanataka kumuona tu! Ndugu yangu sema mengine ila ya JK na wananchi asjie akakudanganya ntu, njo huku bongo uone anapoingia mahali uone wananchi wanavyopigania kumuona tu! Halafu jama unajua kama ana uchawi hata nje ya nchi, akingia mambo ni yale yale tu, I mean huo ni ukweli regardless ya uwezo wake kikazi ila kwa mvuto hakuna mfano bro!
Unjua kwa kumliaza kama kuchangia kwangu katika mada kunaashiria kuwa nimetumwa na CCM kuja kuandika, au itakuwa ni sababu ya wanaoona tofauti kufikiri kuwa njia ya kutoa hasira zao za kuitukana serikali ni kunirushia ujinga, ninasema HAPANA na nitawajibu kwa lugha ya fedhuli mno kwa sababu ninaiweza, mimi ni mwananchi kama wewe tena waya wa bongo ulishanifanya mpaka ni-risk maisha yangu na kuzamia meli za Wagiriki enzi zile za waya mkali, kwa hiyo kama unafikiri unaielewa hali ya bongo kuliko mimi bro, unajidanganya ila inafikia wakati inahitajika kuenda na wakati huku tukitafakati reality!
Shukrani!