Msolo
JF-Expert Member
- Oct 19, 2008
- 3,829
- 5,270
10 years later, 2025, Mbowe yuko weak baada ya wanachama kumkataa kwenye sanduku la kura. Ajabu ameamua kuwa kimya kabisa, na anahusishwa zaidi kuhama kwa wanachama wake kwenda chama kingine cha upinzani Chaumma.This is 2015 na Mbowe bado yuko strong.
Tetesi ni kwamba atakuwa sehemu ya chama hicho.