Ole Sabaya kutinga tena mahakamani Oktoba 18 kwa kesi ya Uhujumu Uchumi

Maaamaaaayeeeeeee!

Hapumzishwi, watamnyeshea mvua iwe fundisho, kwa wengine, ukipewa cheo usijisahau SANA. Iko siku watakunyang'anya na kukufilimba.

Everyday is Saturday................................:cool:
Mtu mmoja anipe mawasiliano ya Nyampara wa Sabaya nimpe kazi maalum
 
Maaamaaaayeeeeeee!

Hapumzishwi, watamnyeshea mvua iwe fundisho, kwa wengine, ukipewa cheo usijisahau SANA. Iko siku watakunyang'anya na kukufilimba.

Everyday is Saturday................................:cool:
Kile kisengerema kilijisikia sana maa.mae. Acha kinyee kwemye ndoo na bebi wake anyee kwenye naniliu za malegendare
 
Napenda kujuwa wako watatu miaka 30, kila mmoja, au wanagawana miaka10 kila? Na iwapo wanagawana wangekuwa waliohukumiwa kwa kesi hiyo wapo thelathini, inamaana kila mmoja mwaka mmoja! Na kama 60 basi miezi sita?
Samahani ila wewe bado mtoto mdogo sana ila sikulaumu unaendelea kujifunza. Hapo kila mmoja ni 30 years
 
Mfungwa wa kifungo cha miaka 30 kwa unyang’anyi wa kutumia silaha, Lengai Ole Sabaya na wenzake 6, kesho 18/10/2021, watarejea tena Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha kusikiliza kesi nyingine ya uhujumu uchumi yenye mashtaka ya kuendesha genge la uhalifu, utakatishaji fedha na uhujumu uchumi.

Kazi iendelee
 
Hivi kumbe huwa ni kweli etiee!! Mbabe akishakamatiwa chini ndipo wanyonge wake huinuka ghafla ili walao wapigepo japo kakofi au hata wamtemee mate??? Teh-Teh Teh Khaaaaaaaaa.
Haya mambo hutokea sana hata kwenye nchi zilizoendelea. Tafuta habari za Jeffrey Epstein, Bill Cosby na Harvey Weinstein.
 
Hilo shtaka la kuendesha genge la uhalifu naona tayari ameshahukumiwa kabla hata kesi haijaanza kusikilizwa, wale wenzake aliohukumiwa nao juzi ndio genge lenyewe na walikuwa wanavamia maeneo ya watu ni ushahidi tu uwekwe sawa, hapo yamebaki mawili, kutakatisha fedha, na uhujumu uchumi.
hahaha
 
Huyu kijana Sabaya kweli alikuwa na maadui wengi, mitandao yote watu wanafurahia adhabu aliyopata huyu jamaa najiuliza kawafanyia nini lakini, huo sio ubinadamu kabisa
Naona umeanza tabia kama zake! Yakikufika utajua hujui!
 
Anaraha kesi yake iko otomatiki,tayari imeziirika anagenge la uhalifu...manake uhalifu nayo imepita aikatai ndohuo kafanya hilo genge halikuwa lakusali, alivyoufanya niwakudai rushwa na hiyorushwa ni ili kodi isilipwe manake katakatisha fweza!! Kilakitu kinafloo otomaa jombaa kwaiyo anakula tena nyingi... iikesi haina aja ya wakili wasirkali itawapotezea muda wachkue kichaa oote apochuga iokoe muda naela.
Dingilai alomtuma nae nimakuni zinaongezwa arif!! Tukaege kirosafi hii dunia sioetu atii ukipewa ofisi tuliaga apondichi usijiinue kiniaje machalii simnaona hii njeree inaongezewa minondo,huku nondo Kule kuni
Uku nondo kule kuni
aina mbaya chaliangu
Wanavuna walichopanda
 
Hilo shtaka la kuendesha genge la uhalifu naona tayari ameshahukumiwa kabla hata kesi haijaanza kusikilizwa, wale wenzake aliohukumiwa nao juzi ndio genge lenyewe na walikuwa wanavamia maeneo ya watu ni ushahidi tu uwekwe sawa, hapo yamebaki mawili, kutakatisha fedha, na uhujumu uchumi.
Genge Darisalama NDANI
 
Back
Top Bottom