Ole Sabaya kutinga tena mahakamani Oktoba 18 kwa kesi ya Uhujumu Uchumi

Naomba kueleweshwa,Je mfungwa anayeshitakiwa kwa kesi nyingine ( Si rufaa ya kesi iliyomtia hatiani) anapoenda mahakamani anaenda na sare ya magereza kama anavyoenda hospital akiugua au anaenda na nguo zake za kawaida?.

Sent from my TECNO L9 Plus using JamiiForums mobile app
 
Unapigwa miaka 5 ya kufanya fujo gerezan na kukaidi amri halali.
Halfu utaenda mahakamani kwa lazima
Hujui power ya askari jela mkuu sikia tu waone kama wajinga wakiwa nje ya ngome usisikie ndugu acha kabisaaa.....majambazi wakorofi hutulizwa na kuwa wapole kama wachumba....acha kabisaa.....wakiamua wanapiga wale hadi huwa wanaua....wanapiga vibaya sana...usikie tu...
 
Kuna uwezekano wa kufunguliwa kesi nyingine nyingi za jinai kwa tuhuma zilizofanyika Hai na Kilimanjaro kwa ujumla.
Kama yanayoandikwa kwenye mitandao ni kweli na walalamikaji au wahanga wa vitendo hivyo wakaendelea kufuatilia, atafunguliwa mashitaka mengine bado.
 
Kuna uwezekano wa kufunguliwa kesi nyingine nyingi za jinai kwa tuhuma zilizofanyika Hai na Kilimanjaro kwa ujumla.
Kama yanayoandikwa kwenye mitandao ni kweli na walalamikaji au wahanga wa vitendo hivyo wakaendelea kufuatilia, atafunguliwa mashitaka mengine bado.
Hivi kumbe huwa ni kweli etiee!! Mbabe akishakamatiwa chini ndipo wanyonge wake huinuka ghafla ili walao wapigepo japo kakofi au hata wamtemee mate???😳 Teh-Teh Teh Khaaaaaaaaa.
 
Apigwe kesi zote Ili iwe fundisho kwa wajao,kwamba kumtumikia shetani hakulipi
 
Sabaya tayari ana jina akitoka jela 2051 aje afungue kanisa tu litamlipa.Akitoka atakuta zile bilioni 3 alizopora watu zitakuwa zimeongezeka kama aliweka bank.
 
Hivi kumbe huwa ni kweli etiee!! Mbabe akishakamatiwa chini ndipo wanyonge wake huinuka ghafla ili walao wapigepo japo kakofi au hata wamtemee mate???😳 Teh-Teh Teh Khaaaaaaaaa.
Raia wengi ni masikini wa mali na fikra. Hali hiyo huwafanya wawe waoga na ukizingatia Sabaya alikuwa na nguvu ya madaraka yake kwa wakati huo.
Sina hakika kama yanayosemwa na kuandikwa kuhusu tuhuma zake ni kweli.
Hata hivyo, mimi ni mtanzania, mwanaCCM mwenye fikra huru. Nasikitika sana kwa yaliyotokea na yanayoendelea kwenye siasa zetu. Natazama mbele kifikra kwa ajili ya kutafakari yajayo kwa mustakabali mwema wa taifa.
Pale tutakapoweza kupongeza mazuri na kukemea mabaya hasa uhalifu wa wazi bila upendeleo wa kisiasa ndipo tutasonga mbele kimaendeleo ya jamii na taifa kwa ujumla.
 
Huyu kijana Sabaya kweli alikuwa na maadui wengi, mitandao yote watu wanafurahia adhabu aliyopata huyu jamaa najiuliza kawafanyia nini lakini, huo sio ubinadamu kabisa
We nae boya tu kama hufuatiliagi mambo
 
Hii kesi ya Mbowe sio ya kuichukulia poa. Maana kwenye criminal cases burden of proof lies na prosecution. Ni lazima wa proof beyond reasonable doubts all the allegations against him. Kwa jinsi international community in TZ inavyofatilia hii case....kama haitakuwa judged on merit....wakamfunga say like Sabaya (known criminal in society) inaweza kuleta hata sanctions. Ni jambo la ajabu sana kusema eti ku marinate aisee! Sielewi
Kumbe na nyie mnajua kua Mbowe Ni mkubwa
 
.hata kama kumkomoa sio hivi.
ujue mwanzo alichukulia rahisi rahisi ila Mambo yameshakuwa magumu.
pale mahakamani alikuwa anacheka ila huko jela alikuwa analia 30 nyingi
 
Huyu kijana Sabaya kweli alikuwa na maadui wengi, mitandao yote watu wanafurahia adhabu aliyopata huyu jamaa najiuliza kawafanyia nini lakini, huo sio ubinadamu kabisa
Jitahidi kujua hayo wanayosema Kama kweli au si kweli utapata majibu then unaweza kuchagua upande wako!
 
Hicho kilishajulikana kuwa ni fake. Ilikua wakati akiwa UVCCM. Kabla hajafikishwa mahakamani kujibu kufoji hicho kitambulisho, Mwendakuzimu akamteua kuwa DC, kitu kilichompa kichwa kuanzia wakati huo.
Mwendazake alikuwa dhalimu sana....
 
Maaamaaaayeeeeeee!

Hapumzishwi, watamnyeshea mvua iwe fundisho, kwa wengine, ukipewa cheo usijisahau SANA. Iko siku watakunyang'anya na kukufilimba.

Everyday is Saturday................................:cool:
 
Back
Top Bottom