Old School Special Thread

Stuck on you
I've got this feeling down
Deep in my soul
That I just can't lose
Guess, I'm on my way
Needed a friend
And the way I feel now I guess
I'll be with you till the end
Guess I'm on my way
Mighty glad you stayed
Naupenda sana huu wimbo, one of my best rnb songs of all time
 
Oii ...back in tiiiimee...mko poa ma-old school wenzangu nineamua kuanzisha thread hii mahususi kwa ajili ya vijana wa zamaani tuongelee kuhusu maisha ya zamani especially miziki ya nje "old school" rnb, hiphop, blues, zilizobamba sana na vijana ambao tulikua states enzi hizo maisha yalikuwaje huko na zile beef za east coast na west coast, beef za tupac na big, club za zamani za nje hata bongo pia, gangs zilizokua na beef enzi hizo states,matukio ya zamani ya huko states, vijana tulioruka majoka club za hapa bongo miziki gan ilikua inapigwa sana na matukio ambayo unayakumbuka ambayo hutayasahau. Na mengine mengi. Karibuni sana. Lets go waaaay baack in timee!!

Wapi boundary ya old school uliowalenga? Born 1950s & 60s kweudi lkn hadi 2010 walijiita vijana? Born 1970s ila hadi leo hawajijui kama ni old school au la. Born 1980s ambao hawajijui kama sio watoto tena na wanaweza kua old school in some ways.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom