Old School Special Thread

kuna ule mwingine stuck on u!
Na ule pia I always love you wa Witney Huoston.

Na ule pia Georgina wa Marijani Rajabu. Kuna kipande kinaanza;

Oooh Georginaa...siku uliyoondoka a uliniacha nalia na machozi. Umekwenda kuishi mbali namii Georgina wa Mamaaa...
 
uko vizuri Georgina naukumbuka kumbuka kidogo!
sir Elton john endless love,Brian
Marc Adams Everything I do!

Celine Dion my heart will go on!
 
Georgina kama unanikumbusha kitu!
Hunizidi mimi mkuu.
Huu wimbo unanikumbusha marehemu mama yangu mdogo (huyu dada alikuwa mrembo haifai kusema....R.I.P)

Sasa nakumbuka kama mwaka 2001 hivi...mpenzi wake (baba yangu mdogo) alisafiri, akawa anausikiliza huu wimbo sana kwa madai baba yangu mdogo wakati anaondoka alikuwa akimuimbia kwenye gari.

Basi hadi leo nikiusikia huu wimbo namkumbuka sana.
R.I.P mama yangu mdogo,mwanao nami nimekuwa mkubwa sasa.
Kweli maisha safari ndefu.
Wakati hayo ya wimbo yakitokea yeye alikuwa na umri sawa na niliokuwa nao sasa,nimeufikia umri wake nae hayupo tena!
 
Pole my dear
 
Nateseka kungoja fanya uje kwa haraka
Ni wewe mpenzi wangu mwenye shingo ya upanga
Mwenye macho ya maringo na hatua za wastani
Ni wewe mpenzi wangu mwenye shingo ya upanga
Sitokuacha sitokuacha sitokuacha
Nateseka kungoja fanya uje kwa harakaaaa
 
Hivi old skool ni zipi? Mimi nilifikiri ni zile rnb, rap na hiphpo za mbele za 90. Muziki wa zilipendwa huwezi kuziita old skool. Ngoma kali za mbele hapa namaanisha marekani hasa za 90 kwenye generation ya kina big na 2pac, Coolio na buster, makundi aina ya Luniz, lostboyz, soul fo real, boyz 2 man, SWV, salt n paper ndio waliokuwa wakipiga muziki ambao leo ndio tunaita old skool.

Hata ukienda kule you tube ngoma nyingi za old skool ni za miaka hiyo.

Ngoma zilizobamba za aina ya rnb ni kama To close wa next ngoma kama I wanna b the only one wa intenal. Stock u up wa changing faces, vibao vya kci &jojo na nyingine nyingi.

Kwenye hiphop ndio shida. Mbali na uhuni wa kina big na pac walikuwepo wengine kibao. DMX, ODB,nk.

Makundi kama "other people properties" yaani Nought by nature, fugees, uotcast, lostboyz, luniz na mengine mengi.

Afu miziki ya 90 ya mbele haikuwa ya kucheza. Mingi ilikuwa ya kusikiliza. Ngoma za kucheza hasa disco ilikuwa ni miaka ya 80.
 
Duh! umenikumbusha wu tang clan sijui waliopo hai wamebaki wangapi wanyamwezi wale na wu tang clan chamber yao mtu mzima ODB huku ghostface killah pale raekwon kule method man ilikuwa khatari hiyo nine chamber
 
Najua mwenzangu karibuni utatoka hospitalini... utokapo tafadhali, fika mjini umtafute mpaka umuonee "mchumba wangu clara x2";....ukimuona tafadhali muulize kama kweli yuko radhi niteseke hospitali..? ...

clara
 
Run dmc
Gangstarr, umu ndani kulikua na mtu anaitwa guru marehemu sasa.
Eric b and rakim
Juice crew, kina big dady kane
Boot camp clik apa alikuepo marehem sean prince duuh hatari.
Mobb deep
Dead prez
Lost boyz mr.cheeky rahaa sana.
 
1473090615454.jpg

remember him?
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom