Old School Special Thread

Kwa hiyo unatuona Wazee sana sio?
Weye huutaki ukongwe? najaribu kuwaza baada ya miaka 30 utafunguliwa uzi kisha wazee wa wakati huo ujao watakapoanza kufunguka kuhusu mwamba na man fongo huku vijana wa wakati huo wakiwa wadadisi kutaka kujua man fongo alikuwa mahiri kiasi gani! najikuta nauheshimu wakati na zama zake.
 
Ballerina girl
You are so lovely
With you standing there
I'm so aware
Of how much I care for you
You are more than now
You are for always
I can see in you my dreams come true
Don't you ever go away

You make me feel like
There's nothing I can't do
And when I hold you
I only want to say
I love you
 
1472583729798.jpg
 
Wadada wanaopenda old school hits hua wananivutia sana really..halafu wagumu kupatikana..hit gan nyingine unaikumbuka nifah
Mimi huwa inatokea tu naupenda wimbo no matter ni wa zamani kiasi gani.
Kama huu wa Hello...nilitokea kuupenda mwaka 2009 coz my first love alikuwa anampenda sana Lionel Richie
 
Nlikua nazo kuna washkaj nao wa kitambo walikuja kuchukua hawajanirudishiaga sjapata mda kwenda kuzitafuta cd mpya na kuna nyingine hamna nyimbo zote yan ntaku pm mkuu
Isijekuwa ndio yeye kati ya hao washkaji zako waliozikuchua
Maana JF hii ya fake Id's taabu tupu.
 
Mimi huwa inatokea tu naupenda wimbo no matter ni wa zamani kiasi gani.
Kama huu wa Hello...nilitokea kuupenda mwaka 2009 coz my first love alikuwa anampenda sana Lionel Richie
Wa ballerina girl wa lionel ritchie je?? Au kitu "all night long"
 
Marahaba kwa niaba yake.
Najua ulikuwa Mtoto sana enzi za kina Black Moses, Mc Digadiga.
Nyimbo za kina Marijani Rajabu, Mbaraka Mwishehe na Cuban Marimba

Unajua kisa cha Watu kuitwa "kilaz.a"?

Uzee raha!!!!
Umesahau kokoliko, super ngedere. Hii ilikuwa ndani ya ukumbi wa lang'ata.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom