Old School Special Thread

safi sana!!
wazee enzini taifa sie bado kwanza!
Almarhumu juma mrisho (ngulimba wa ngulimba )lakini ukiwa wapenda miziki basi mziki wowote mzuri utapenda kuanzia vyombo mpaka mpangilio wa sauti kuna kipindi Charles hilary alifanya mambo na watu wakavutiwa na charanga bila kujua maneno yana maana gani ila midundo ilivutia watu so kuna mambo kemkem mtu anaguswa katika muziki
 
Eh bwana mi nakumbuka mengi sana ila kuna club moja mjini L.A marekan ..miaka ya 90's wakat ndo beef la pac na big limepamba moto...watu tunaingia club, jamaa flan alikua mmoja wa wamilik wa hio club walikua wanakaaa upand wa dj....sasa jamaa anashika mic anaanza...."now i want all mthfk east side stay that side and all mthfk west side stay that side" ..and if u aint got any side u better fkn going home" baas bwana tukishakaa pande mbili katikati panaachwa uwazi flani ...dj anaanza kushusha trak za tupac na big ..ikifika trac ya upande wenu basi mnawa face wenzenu mnakua kama mnawachana....hahahaa ilikua balaaa ...hasa ilipofika trak ya hit em up ya pac ....haswa kwenye chorus "grab tupac when u see 2pac ..call the cops when u see 2pac".....hahahah aiseee
Umenikumbusha mbali saana
 
Almarhumu juma mrisho (ngulimba wa ngulimba )lakini ukiwa wapenda miziki basi mziki wowote mzuri utapenda kuanzia vyombo mpaka mpangilio wa sauti kuna kipindi Charles hilary alifanya mambo na watu wakavutiwa na charanga bila kujua maneno yana maana gani ila midundo ilivutia watu so kuna mambo kemkem mtu anaguswa katika muziki
Shikamoo baba tena na tena!!
 
Oi oi oi....

Mob deep
Outcast team
Naughty by Nature
Thug life
BadBoy
Coolio
X-zibit
Lost Boys
Mase
Puff Daddy
Nas Escober
Snoop Dog
Dr.Dre
Ice Cube
Master P
Nate Dogg

Mi nilianza kuwasikia hao wa 90's though wapo wakali waliowatangulia.

Old school = Gold school
Km bado unapendelea kusikiliza ngoma kali za hao jamaa, ni PM nina mzigo wa kutosha...90s hip hop ndio burdani yang
 
Hello...it's me you looking for
I wonder where you are & I wonder what you do...
Are you still lonely or...
Huu wimbo naupenda sana.
Wadada wanaopenda old school hits hua wananivutia sana really..halafu wagumu kupatikana..hit gan nyingine unaikumbuka nifah
 
Km bado unapendelea kusikiliza ngoma kali za hao jamaa, ni PM nina mzigo wa kutosha...90s hip hop ndio burdani yang
Nlikua nazo kuna washkaj nao wa kitambo walikuja kuchukua hawajanirudishiaga sjapata mda kwenda kuzitafuta cd mpya na kuna nyingine hamna nyimbo zote yan ntaku pm mkuu
 
1472582086861.jpg

1472582102142.jpg

1472582112596.png

1472582136844.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom