Old School Special Thread

Marahaba kwa niaba yake.
Najua ulikuwa Mtoto sana enzi kina Black Moses, Mc Digadiga.
Nyimbo za kina Marijani Rajabu, Mbaraka Mwishehe na Cuban Marimba

Unajua kisa cha Watu kuitwa "kilaz.a"?

Uzee raha!!!!
hahaaa!!babyyy!!!
mtoto sana tuu!
Sasa kuanzua Leo nakuamkia daily!!
naomba unipe kisa cha watu kuitwa kilaza tafadhali!!!
 
Marahaba kwa niaba yake.
Najua ulikuwa Mtoto sana enzi za kina Black Moses, Mc Digadiga.
Nyimbo za kina Marijani Rajabu, Mbaraka Mwishehe na Cuban Marimba

Unajua kisa cha Watu kuitwa "kilaz.a"?

Uzee raha!!!!
Duh! hiyo marhabaaa yako ya mwendokasi umeniwahi ila halija haribika jambo zinatustahili hizo heshma panakuwa pagumu vijana kujua kitu kama kanyaboya ,pongo, njagu ila kwa threads kama hizi wanapata ladha.
 
MARHABAAA vipi kwema? sasa wamesema tukumbuke zamani tufanyaje sasa? hizo enzi hakuna timu wala vilabu tungo zimesimama zenyewe mpaka leo wala hakuna Kiki ukitaka kutoa wimbo.
kwema baba,nawaona wa zamani humu maana hizo tungo hapo mie za kizungu ndo utanipata!!
hao kina mbaraka mwinshehe wanakufa sijazaliwa!!
 
Najua mwenzangu karibuni utatoka hospitalini... utokapo tafadhali, fika mjini umtafute mpaka umuonee "mchumba wangu clara x2";....ukimuona tafadhali muulize kama kweli yuko radhi niteseke hospitali..? ...
 
Dah mkuu hivi hao raia wako wap especially akina coolio, wazee wa OPP wako wap aisee ...yu know opp.ye yu know meee ...hahahaah...
mi najua xzibit ana kipind chake saivi cha kutengeneza magari flan amazing hahaha
Coolio na gangster paradise hiyo ni miaka ya 95 flan hivi sio siku nyingi sana ila si vibaya kukumbuka jamaa baada ya kutamba na gangster paradise alikuja toa kibao kingine nadhani ilikuwa I will c you when you get there sijui akapotelea wapi?
 
Najua mwenzangu karibuni utatoka hospitalini... utokapo tafadhali, fika mjini umtafute mpaka umuonee "mchumba wangu clara x2";....ukimuona tafadhali muulize kama kweli yuko radhi niteseke hospitali..? ...
Nyumbani anakoishi ni msimbazi kotaaaa
 
kwema baba,nawaona wa zamani humu maana hizo tungo hapo mie za kizungu ndo utanipata!!
hao kina mbaraka mwinshehe wanakufa sijazaliwa!!
Kikwetu kwetu kwanza baadae ndo tunakwenda huko kwa kina Tina Turner na Diana ndo maana umekipenda kibao cha endless love akiwa na mtu mzima lione Richie.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom