GE2025 OKTOBA 29 tunatoka
Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Matovu Godfrey

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2025
Posts
808
Reaction score
519
INUKA TANZANIA! 🇹🇿 AMKA TANZANIA! TANZANIA HURU! SAMIA LAZIMA AENDE! ACHA UTEKAJI MIMI MTANZANIA! POLE POLE BURE! TUNDU LISU BURE! HAKUNA MAREKEBISHO HAKUNA UCHAGUZI!

20251012_181546.jpg
20251012_145150.jpg
20251011_212006.jpg


#Oktoba29Tunatoka
📍 Watanzania lazima wainuke na kupigania uhuru wao, dhuluma lazima iishe
💪🏿
 

Attachments

  • 20251013_122649.jpg
    20251013_122649.jpg
    61.6 KB · Views: 19
  • 20251012_143357.jpg
    20251012_143357.jpg
    49.7 KB · Views: 20
  • 20251012_145346.jpg
    20251012_145346.jpg
    332.9 KB · Views: 19
  • Screenshot_20251012-193353.png
    Screenshot_20251012-193353.png
    681.7 KB · Views: 21
20251013_162922.jpg


Nchini Tanzania Rais dikteta Samia Suluhu anajichubua mwenyewe katika Uchaguzi Mkuu ujao baada ya kuwafungia wapinzani wake, kuwatishia na kuwaua wakosoaji wake.

#Oktoba29Tunatoka 🇹🇿 ⚠️💪🏿
 
#TANZANIA: MSIGWA: 'BORA JESHI LA POLISI LIMETOA TAARIFA KUHUSU MADAI YA KUTEKWA KWA POLEPOLE, SIO LAZIMA NISEME MIMI'
"Bora Jeshi la polisi limetoa taarifa kuhusu madai ya kutekwa kwa kwa Humprey Polepole, sio lazima niseme mimi. Jeshi la Polisi ni Chombo la serikali, ndicho Chombo husika. Mimi ntakupa tu taarifa za juu. Ni vizuri kukiacha Chombo kinachohusika kikamilishe uchunguzi wake kitoe taarifa" Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa akizungumzia swala la kutoweka kwa aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humprey Polepole
20251013_170921.jpg
 
Back
Top Bottom