Mwanamena
JF-Expert Member
- Feb 4, 2020
- 1,107
- 1,374
Kuhusu Rupia, umegeneralise sana, Nikupe tu hili, Babu yangu Mimi, mzaa mama, alikuwa mganga wa tiba za Asili, Alikuwaga na kopo zima Zimejaa Rupia, alipofariki mwaka 1990, vifaa vyote vya uganga alikabidhiwa Babu mdogo, alivyofariki 1997, akawa Hakuna wa kurithi vile vitu, kila mtoto hakuwa tayari kurithi, labda pia kwakuwa dini ya ukristo ilikuwa imetawala,Hatuna rupiah tena.. Mzigo wote ulishaondoka kumebaki mabaki
Mercury ya mapangoni nayo ni hadithi tu kwa sasa labda huko Amazon unaweza kuipata.. Hakuna uchawi kwenye hiyo mercury na si biashara ya siri kiasi hicho kama unavyoaminishwa.. Nimeingia sana mapangoni, nimefanya sana ushirikina ili walau kupata tone moja lakini holah... Trust me mercury ya asili imebaki kuwa story za kufikirika kama zile za majitu ya kale
Jr![]()
Utaratibu ukafanyika kwenda kurudishwa vilikotolewa pamoja na kopo la Rupia Zimejaa, ili yasiwepo madhara, kwa Yale maagano ya wazee/ mababu, kwa sisi tulioko.
Yule aliyezirudisha msituni nae alifariki kwasababu ya umri maana ndiye aliyekuwa amesalia. Na taratibu za kurudishwa alikuwa anazijua yeye. Sasa hizi Rupia Kama zinachukuliwa zinaweza kuwa na kazi, au Ni Makapi tu.
Nilipopata akili iliniuma Sana kuwa kumbe tulikuwa na utajiri mkubwa hivi alafu tumeutupa porini.
Sent using Jamii Forums mobile app




Niendelee kutafuta Ngekewa itanipa tu hela. 
