Ni add na mimi 0738172129nimerudi brother
ni add kule
Yote uko sahihi isipokuwa la kubet. Mi nina ushuhuda wa aliyepiga pesa ndefu. Suala ni unabet nini na unabetije.
Ungesema baadhi ya biashara za madini . Asilimia kubwa ya wafanya biashara ya madini wamefanikiwa. Nenda arusha, mererani,geita,kahama,kakola na mwadui uone mafanikio ya biashara ya madiniKivipi kwa mfano... Nadhani kuna kitu hujui.. Lakini kwenye madini watu wamepigwa sana
Jr![]()
Katika kuhangaika, kwangu niliwahi kuambiwa, ishu za Mercury ya Asili, na nilikutana na watu tofauti, waliohangaikia kwa miaka mingi na hayo Mambo, nilipata mzuka sana, maana Mwingine anasema nilichukua ikaganda,Una umri chini ya miaka 40... Anatokea mtu anakuambia mlima fulani kuna mashimo ama mapango yana mali za mjerumani.. Unaweka mashaka lakini anakuaminisha kabisa
Ukimwangalia ni kachala kachoka kabisa lakini anakwambia ukitafuta KIASI fulani cha pesa mkafanya kafara mtapata hiyo mali.. Na kwa ujuha wa kiwango cha juu mno unamuamini na kusahau kabisa kujiuliza haya
Hizo ni mali gani?
Zina thamani gani?
Utauza wapi?
Utamuuzia nani?
Nani kathibitisha uwepo wake? Kwanini yeye hakuchukua?
Ina maana walioweka ni wapumbavu kiasi cha kuacha kuja kuzifuatilia?
Ni nani hapendi utajiri? Ina maana hakuna watu wenye uwezo wa pesa walio tayari kuitafuta hiyo mali kwa njia zozote zile?
CC: Slim5
Jr![]()
Hayo madini ukae ukijua kuna figisu nyingi sana,Ungesema baadhi ya biashara za madini . Asilimia kubwa ya wafanya biashara ya madini wamefanikiwa. Nenda arusha, mererani,geita,kahama,kakola na mwadui uone mafanikio ya biashara ya madini
Sent using Jamii Forums mobile app

kuna mtu leo kanipeleka qnet ijumatatu naingia second presentation kwa hiyo kashaniona mi fursa eti bahati mbaya naheshimiana Sana na huyo mtu namalizia presentation ya pili afu narudi kwenye karantini yangu











kuna mtu leo kanipeleka qnet ijumatatu naingia second presentation kwa hiyo kashaniona mi fursa eti bahati mbaya naheshimiana Sana na huyo mtu namalizia presentation ya pili afu narudi kwenye karantini yangu
Jr asante kwa kukumbusha mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app

Katika kuhangaika, kwangu niliwahi kuambiwa, ishu za Mercury ya Asili, na nilikutana na watu tofauti, waliohangaikia kwa miaka mingi na hayo Mambo, nilipata mzuka sana, maana Mwingine anasema nilichukua ikaganda,
Mwingine anasema tulikuta joka limelamba yote,
Mwingine anasema najua ilipo ila Sina uwezo wa kufika na kuingia kwenye pango husika kuikinga, maana inatoka tone na tone kwa siku.
Mara ninae mganga ambae lile joka analisukuma pembeni na anaenda kuikinga ndani ya pango,
Mwingine alihadithia kuwa katika kuzunguka mwenzao alifariki huko huko porini, maana wanakutana na mauzauza. Story nyingi sana, lakini Lazima nijatibu, hii ya Mercury asilia.
Sent using Jamii Forums mobile app

Goodmorning billionaire1kuna mtu leo kanipeleka qnet ijumatatu naingia second presentation kwa hiyo kashaniona mi fursa eti bahati mbaya naheshimiana Sana na huyo mtu namalizia presentation ya pili afu narudi kwenye karantini yangu
Jr asante kwa kukumbusha mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app


Mkuu, kukuonyesha Ni ngumu,maana Mimi mwenyewe nimekuwa exposed kwenye hiyo Mercury ya. Asili Mwaka Jana. Kwahiyo bado Sina mtu wa uhakika kusema yule pale alipiga Mercury.Achana na hizo habari utaishia kupoteza nguvu, pesa na muda wako... Kama hiyo mercury ni mali namna hiyo kuna watu wenye uwezo wa kudhamini show yote ili waipate.. Kuna watu kutoa million tano sio ishu kama itamlipa
Biashara hiyo ya mercury ni ya upigaji wa kimasikini na vijana wasio na experience ya maisha wanaotafuta shortcut ya kutoka.. Natambua kuna watu wametajirika kupitia madini, mbao kilimo, uvuvi, mifugo nknk
Nioneshe mmoja aliyeajirika kupitia
Mercury ya asili
Rupia
Mali za mjerumani
Pesa za kale ukiacha rupia
Jr![]()
Mkuu, kukuonyesha Ni ngumu,maana Mimi mwenyewe nimekuwa exposed kwenye hiyo Mercury ya. Asili Mwaka Jana. Kwahiyo bado Sina mtu wa uhakika kusema yule pale alipiga Mercury.
Lakini pia nature ya hii shughuli haifanyiki mchana, Ni usiku na porini sana, watu kujua Ni ngumu kwani Ni Siri Fulani, tofauti na shughuli ulizotaja hapo, hizo zinafanywa na macho ya nyama yanaona ya kila mtu, nirahisi kusema huyu mbao au kilimo zimemtoa kila mtu anaona unavyopasua miti.na unatumia watu wengi katika shughuli hiyo.
Ume preclude Rupia katika maelezo yako, Rupia Ni uhakika Mshana Jr.?
Sent using Jamii Forums mobile app
