Iramusm
JF-Expert Member
- Nov 16, 2009
- 513
- 321
Hapo kwenye zabuni za UN kambi za wakimbizi inakuwaje huo utapeli
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni IMANI mkuu unavyodhani sio sahihi upo sawa na anayedhani ni sahihi naye yupo sawa.Ogopa sana mtu anayekwambia eti Mungu anaponya / anasaidia!
BRO Mshana JrUna umri chini ya miaka 40... Anatokea mtu anakuambia mlima fulani kuna mashimo ama mapango yana mali za mjerumani.. Unaweka mashaka lakini anakuaminisha kabisa
Ukimwangalia ni kachala kachoka kabisa lakini anakwambia ukitafuta KIASI fulani cha pesa mkafanya kafara mtapata hiyo mali.. Na kwa ujuha wa kiwango cha juu mno unamuamini na kusahau kabisa kujiuliza haya
Hizo ni mali gani?
Zina thamani gani?
Utauza wapi?
Utamuuzia nani?
Nani kathibitisha uwepo wake? Kwanini yeye hakuchukua?
Ina maana walioweka ni wapumbavu kiasi cha kuacha kuja kuzifuatilia?
Ni nani hapendi utajiri? Ina maana hakuna watu wenye uwezo wa pesa walio tayari kuitafuta hiyo mali kwa njia zozote zile?
CC: Slim5
Jr![]()
Bro mmoja kariakoo alipigwa 124m
Unapigiwa simu na rafiki wa kitambo lakini usiyemkumbuka Ila yeye anakujua (kiuhalisia kakudukua tuu) yeye anakupa siri ya dili la kupeleka vitu huko na mlipaji ni UN kisha anakuunganisha na boss wake mzungu anayeongea kiingereza safi kabisa.. Utachanganyiwa habari mpaka utapigwa kama ukiwa na tamaa ya kupata harakaHapo kwenye zabuni za UN kambi za wakimbizi inakuwaje huo utapeli
Sent using Jamii Forums mobile app

Tarajia kilio kikubwa soon
Acha tu.usinikumbushe naskia kuliaMbona hujaweka ishu za forex...
Watu walipigwa ada now sijui accounts zao zinasoma dola ngapi
Sent from my iPhone using JamiiForums





Lakini mkuu je kama mngevuna? Haya maisha hakuna formula ya nini cha kufanya ili mtu afanikiwe, ilitokea tu hivyo mvua zimezidi mkakosa. Let's not look at this in one dimension, ingia tena shambani mzee.Doooh! Rafiki yangu fulani alinihakikishia kuwa kilimo cha viazi ulaya kinalipa ile mbaya.Basi bwana, tukaandaa mpango mzima na nikamwaga million kadhaa. Kweli tulilima but mvua zimenyesha hadi kero, viazi full kuugua ugonjwa wa mnyauko.Mwisho wa siku mavuno yamekuwa negative na millions zimepotea hivi hivi.
Next time mtu asiniambie sijui upuuzi gani gani unalipa. Kama unalipa dump pesa zako mwenyewe kwenye huo upuuzi ili zikulipe.
Mkuu weka nyama kidogo, ilikuwaje mana naona kama na mimi naraka kupigwa