loose Nut
JF-Expert Member
- Dec 6, 2025
- 2,591
- 5,951
Baada ya Hilda Newton kumuanika Fortunus Buyobe mwamba alikuwa na wakati mgumu. Story ilikuwa juu yake kila. Kila akijaribu kujijitetea kwa kuposti risiti za AI wapi. Fortunus akatrend.
Hatimaye Mungu akamsikia ilipofika Jumanne Arsenal kutwaa ubingwa baada ya City kudraw na Bournemouth watu wakaanza kusahau ishu ya Buyobe na kuhamisha akili kwenye Ubingwa wa Arsenal.
Haijakaa vizuri usiku wa kuamkia jana alahamis msaidizi wa rais ajaye wa Tanzania Djumbe akanusurika kutekwa na wasiojulikana hiyo ishu ikatrend Buyobe alipo akaendelea kuwa relieved.
Leo watu wameamka Faustine Mafwele kupigwa Ban kuingia Marekani yani ndio kabisa Buyobe kasahaulika.
Hakika sasa hivi huyu mwamba alipo anashukuru.
adriz de mbusii