Ogopa hizi shuhuda

Ogopa hizi shuhuda

vipi mpaka kufikia sasa una lipi la kusema kuhusu janga hilo na nchi yetu kwa ujumla...
Niseme tu nchi yetu iliguswa na janga hili na kwamba hadi sasa Wizara ya Afya inawaasa Wananchi wafuate kanuni za Afya ili kujilinda na janga hili. Pia inasisitiza kwamba chanjo na Dawa za Corona bado havijapatikana.
 
Chifu Mshana umenena.
Kununua nyumba? Funga mdomo wako. Je, unanunua gari jipya? Funga mdomo wako. Kufunga ndoa? Funga mdomo wako. Kwenda likizo? Funga mdomo wako. Kwenda kufanya kozi? Funga mdomo wako. Je, umepandishwa cheo? Funga mdomo wako. Asilimia 99 ya wakati sababu ya ndoto/maono yetu kutotimia inapotakiwa, ni kwa sababu tunafungua midomo yetu mapema sana kwa watu wasio sahihi kwa wakati mbaya. Tulikosea kushiriki miradi/mafanikio yetu na watu wanaodai kuwa "marafiki". Wivu na wivu wa hali ya chini inatosha kwa watu kujilisha na kubomoa kile ambacho kinaweza KUWA, kabla hata hakijatokea, kwa hivyo ... Funga mdomo wako! Wengi wa "marafiki" wako wanataka kukuona ukifanya vizuri lakini sio bora kuliko wao!! Na ukumbusho tu! Hata wanafamilia wana wivu uliojificha!!! Lakini, hawawezi kuacha aliyo nayo Mwenyezi Mungu kwa ajili yako!

FB_IMG_1656503239043.jpg
 
Mtu anayekushuhudia kwa hakika kuwa mganga fulani ni kiboko. Kuna madalali mpaka kwenye ulozi.

Mtu anayekushuhudia kwa hakika kuwa kapiga pesa ndefu kwenye kamari. Huyu kaumizwa naye anataka akuumize.

Mtu anayekushuhudia kwa hakika kuwa biashara GLND, FOREVER LIVING QNet nk zinalipa sana. Huyu keshapigwa na ana mzigo mkubwa wa bidhaa na hana wa kumuuzia, Ukikubali unalo lake.

Mtu anayekushuhudia kwa hakika kuwa biashara fulani inalipa na faida yake ni chap chap. Huyu hajui ni mropokaji tu naye kasimuliwa.

Mtu anayekushuhudia kwa hakika kuwa fulani kafanikiwa kupitia njia fulani lakini yeye yuko hapo hapo akiwa hohehahe hana mbele wala nyuma. Hizi ni story za vijiweni,

Hii dunia haina shortcut, hakuna pesa za bure. Kila sent lazima uitolee jasho.

Marafiki wa mitandaoni wanaojifanya wako njema na wanataka mshirikiane kufanya ishu ya pesa. Hawa ni matapeli tu, wezi waganga njaa kama wengine tu.

Mtu anayekushuhudia fursa kwa bashasha na lugha za kuvutia jua ya kwamba tayari aneshakuona wewe ni fursa..

Bahati mbaya sana hata baada ya kusoma hii post bado kuna watu watapigwa na watakuja hapa kulalama.. Na wengine watapigwa hapa hapa na wana JF wenzao

Ishu za madini
Ishu za mali ya Mjerumani
Ishu za pesa za majini
Ishu za Freemason
Ishu za utajiri wa kafara
Ishu ya dola za kusafisha
Ishu za madawa, vipuri, vivyago, magari, vyakula na zabuni mbalimbali kupitia UN kwenda kambi za wakimbizi zote hizi ni wizi na utapeli

MAKINIKA, MAKINIKENI, WAJINGA HAWAISHI ILA KUKUMBUSHANA NI ADA.

Jr
Ujinga Ni mtaji kwa wajanja wachache kuutumia Kama leverage to their highest level.
Hata ujinga,uzembe,umasikini, ugonjwa,wapenda ngono,uzembe,uvivu,ugomvi,anasa,utajiri fursa kwa watu kupiga pesa. Yaani kila kitu Cha binadamu Ni fursa ya kupiga pesa Ni wewe tu uwezo wako wa kuziona hizo fursa.
Wanasiasa wanaishi kisa Cha ujinga na umasikini wa wengine.tena wanaishi lavish life.
" Mtu akikuambia akikutangazia njia ya kupiga hela ama angekuwa anaijua nadhani angekuwa kimya na kula hela ama kumeki hizo hela otherwise you're his/her way to make money.

Ila umenichekesha kuwa pamoja ya kuwa nimesoma hapa bado nitakuja kulia kuwa nimepigwa hela mahala.
 
Mbona hujaweka ishu za forex...
Watu walipigwa ada now sijui accounts zao zinasoma dola ngapi

Sent from my iPhone using JamiiForums
Forex nakukatalia mkuu ishu Ni real sema huwezi amini. Subiria as time goes on will tell
 
Ni kweli kabisa mkuu.

Ila naomba nikuulize kitu, Hivi ni kweli kabisa huwa hakuna namna ya kupata hela au mafanikio kwenye ulimwengu wa Giza?? Nikimaanisha kama majini, Uchawi au uganga??

Maana huwa tunasikia kuna matajiri wa aina hiyo
 
Zipo ila masharti yake ni makubwa na ni magumu. Huwezi kupata utajiri kwa kutoa kafara la kuku au mbuzi
 
Back
Top Bottom