Bunge la Kenya laitaka Serikali kuifungia Worldcoin kwa kuingilia Taarifa Binafsi na Faraga za Watu

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,120
1696332039539.png

Bunge la Kenya limetoa wito huo kwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Uchumi wa Kidijitali likitaka Serikali kufunga shuguli zote za 'Worldcoin' kampuni inayojihusisha na biashara ya Sarafu Mtandao 'Cryptocurrency hadi kanuni kali zaidi za Ulinzi wa Taarifa Binafsi na Faragha za Wananchi zitakapowekwa.

Pia, Kamati ya Wabunge waliokuwa wakifanya uchunguzi, imeagiza Mamlaka ya Udhibiti ya Mawasiliano (CA) kuzima mifumo ya mawasiliano ya Worldcoin ikiwa ni pamoja anwani za tovuti zinazohusiana na shughuli zilizofanyika na kampuni hiyo kwa muda iliyokuwepo nchini Kenya.

Aidha, ilitoa wito wa kusitisha uwepo wa kampuni hiyo na washirika nchini humo hadi kuwe na mfumo wa Kisheria utakaodhibiti Mali Zinazoonekana na Zisizoonekana kutoka kwa Wawekezaji watakaojihusisha na Uchakataji wa Taarifa Binafsi za Wananchi.

Ikumbukwe, Agosti 2023, Shughuli za Worldcoin zilisitishwa kupisha uchunguzi baada ya kubainika kampuni hiyo ilichukua Taarifa Binafsi wa Watu kupitia Mboni ya Jicho kwa maelezo ya kuwasajili katika biashara ya Sarafu Mtandao huku ikiwalipa Tsh. 123,235

Kwa upande wa Tanzania, Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi chini ya kifungu namba 14 iliyoanza ktumika Mei 2023, inawataka wachakataji wote wa Taarifa Binafsi kujisajili. Je, wewe Mchakataji wa Taarifa Binafsi, umekamilisha Usajisajili?

===============

A Kenyan parliamentary panel called on the country's information technology regulator on Monday to shut down the operations of cryptocurrency project Worldcoin within the country until more stringent regulations are put in place.

The government suspended the project in early August following privacy objections over its scanning of users' irises in exchange for a digital ID to create a new "identity and financial network".

Worldcoin | What is Sam Altman’s biometric project, and how does it work in India?
Worldcoin was rolled out in various countries around the world by Tools for Humanity, a company co-founded by OpenAI CEO Sam Altman. It has also come under scrutiny in Britain, Germany and France.

The project still has a virtual presence in Kenya and can be accessed via the Internet, even after the August suspension.

(For top technology news of the day, subscribe to our tech newsletter Today’s Cache)

The regulatory Communications Authority of Kenya should "disable the virtual platforms of Tools for Humanity Corp and Tools for Humanity GmbH Germany (Worldcoin) including blacklisting the IP addresses of related websites," the ad hoc panel of 18 lawmakers said in a report.

It also called for the suspension of the companies' "physical presence in Kenya until there is a legal framework for regulation of virtual assets and virtual services providers."

Worldcoin's press office said it had "not seen anything official announced by the Committee directly."

The panel's report will be tabled at the National Assembly for consideration and adoption at a later date.

During the suspension of data collection in August, authorities said the project's method of obtaining consumer consent in return for a monetary award of just over $50 at the time bordered on inducement.

Registering to use the platform involved long lines of people queuing to get their irises scanned. The parliamentary panel's investigation found that Worldcoin may have scanned the eyes of minors as there was no age-verification mechanism during the exercise, its report said.

The panel also asked government ministries to develop regulations for crypto assets and firms that provide crypto services and called on the police to investigate Tools for Humanity and take any necessary legal action.
 

Attachments

  • AD_HOC_COMMITTEE_ON_INQUIRY_INTO_THE_ACTIVITIES_OF_WORLD_COIN1.pdf
    15.5 MB · Views: 1
Back
Top Bottom