Ofisi ya CHADEMA mkoa wa Arusha yachomwa moto

Ofisi ya CHADEMA mkoa wa Arusha yachomwa moto

Mwingamba atakuwa anahusika, anaroho mbaya sana huyo jamaa. MM2 na MM3

Acha ujinga, nyie hamjui siasa. Mnasema MM2, MM3 MPAKA MM~, kwa taarifa hawa si watu watatu, wanne, hili ni kundi kubwa, tena kubwa sana. Kwa tafiti tulizozifanya (mimi na kikundi changu-watu 10) za wiki mbili za haraka haraka ambako tetesi za ***** ***** zimesikika mtandaoni katika mikoa 8- Mwanza, Kigoma, Dar, Kilimanjaro,Lindi, Arusha, Songea na Mbeya. Imeonyesha kuwa kundi hili ni zaidi ya Nusu ya wanachama wote wa CHADEMA.

Utajua ukubwa wa tatizo lililoanzishwa na Mbowe, Slaa, Mtei, Lissu na Mnyika. Na kwa taarifa walpanga kumfukuza Kbwe siku nyingi lakini Slaa ndio alikuwa anaweka kipingamizi kwa kuhofia madhara ya uamuzi huo kwa kujua uwingi wa wapenzi wa kundi la Zitto na the company.

Moto umeshawaka tabu kuuzima.
 
Ofisi ya chadema mkoa wa Arusha imechomwa moto hivi sasa juhudi za kuuzima zinaendelea...
picha nitaziweka muda si mrefu...

Crashwise;

Asante kwa kutujuza kuhusu hiyo habari mbaya. Kuna msemo wa Wanahabari unaosema,"No news is good news''.

Lakini mimi ninapata taabu kidogo na kuna maswali hapa. Kwanza tunataka tujue ofisi IMECHOMWA au IMEUNGUA na moto? Kuchoma ni mtu kufanya maksudi na Kuungua ni kutokana na aidha shoti ya Umeme,Petroli/Dizeli au Gesi n.k. Kama imechomwa; Je, Ofisi hiyo ya CHADEMA Mkoa ina maana haina ULINZI???Najua Policcm hawawezi kulinda ofisi za CDM lakini Chama cha CDM kimeshindwa hakina ulinzi hata wa Kampuni binafsi za Ulinzi au Mgambo mbali ya Red Brigade ya CDM??? Kama hakuna ulinzi maana yake nini? Kama ulinzi upo hao walinzi walikuwa wapi mpaka ofisi inachoma moto???

Kama imechomwa basi kuna mkono wa mtu. Suspect namba 1 atakuwa ni Samson Mwigamba aliyevuliwa Uongozi na Kamati Kuu hivi karibuni. Suspect namba 2 yumkini watakuwa ni MAADUI wa CDM na hasa CCM. Lazima watakuwa wamepenyeza mamluki wao ili kuendelea kuchochea mgogoro huu maana wanafurahia sana kwa sasa mvutano ulioko ndani ya CDM kwa sasa.

Ushauri kwa Dr. Slaa na Freeman Mbowe: Imarisheni ulinzi katika ofisi zote za CHADEMA nchi nzima. Nina hakika CCM wanataka kuchochea vurugu nchi nzima kupitia mgongo wa Zito Kabwe kuvuliwa nyadhifa zake ndani ya Chama ili Watanzania waone kuwa kumbe CDM si lolote si chochote. Jipangeni kudhibiti hali hiyo mapema. Bila shaka mmesikia tetesi kutoka huko mikoani kama Mwanza,Mbeya,Kigoma na sasa Arusha kuhusu ati Wanachama kupinga kusimamishwa kwa ZZK.

Waulizieni wao CCM hivi majuzi walipomfukuza Uanachama na kumvua Ubunge Mansoor Himid, Mwakilishi wa Kiembe Samaki huko Zanzibar kulikuwa na maandamano nchi nzima ya kutaka kuchoma moto ofisi za CCM???Kataeni hizi propaganda mfu za CCM za kutaka kuiangamiza CDM kwa mbinu za kupika.....!
 
crashwise;

asante kwa kutujuza kuhusu hiyo habari mbaya. Kuna msemo wa wanahabari unaosema,"no news is good news''.

Lakini mimi ninapata taabu kidogo na kuna maswali hapa. Kwanza tunataka tujue ofisi imechomwa au imeungua na moto? Kuchoma ni mtu kufanya maksudi na kuungua ni kutokana na aidha shti ya umeme au gesi n.k. Kama imechomwa; je, ofisi hiyo ya chadema mkoa ina maana haina ulinzi???najua policcm hawawezi kulinda ofisi za cdm lakini chama cha cdm kimeshindwa hakina ulinzi hata wa kampuni binafsi za ulinzi au mgambo mbali ya red brigade ya cdm??? Kama hakuna ulinzi maana yake nini? Kama ulinzi upo hao walinzi walikuwa wapi mpaka ofisi inachoma moto???

Kama imechomwa basi kuna mkono wa mtu. Suspect namba 1 atakuwa ni samson mwigamba aliyevuliwa uongozi na kamati kuu hivi karibuni. Suspect namba 2 yumkini watakuwa ni maadui wa cdm na hasa ccm. Lazima watakuwa wamepenyeza mamluki wao ili kuendelea kuchochea mgogoro huu maana wanafurahia sana kwa sasa mvutano ulioko ndani ya cdm kwa sasa.

Ushauri kwa dr. Slaa na freeman mbowe: Imarisheni ulinzi katika ofisi zote za chadema nchi nzima. Nina hakika ccm wanataka kuchochea vurugu nchi nzima kupitia mgongo wa zito kabwe kuvuliwa nyadhifa zake ndani ya chama ili watanzania waone kuwa kumbe cdm si lolote si chochote. Jipangeni kudhibiti hali hiyo mapema. Bila shaka mmesikia tetesi kutoka huko mikoani kama mwanza,mbeya,kigoma na sasa arusha kuhusu ati wanachama kupinga kusimamishwa kwa zzk.

Waulizieni wao ccm hivi majuzi walipomfukuza uanachama na kumvua ubunge mansoor himid, mwakilishi wa kiembe samaki huko zanzibar kulikuwa na maandamano nchi nzima ya kutaka kuchoma moto ofisi za ccm???kataeni hizi propaganda mfu za ccm za kutaka kuiangamiza cdm kwa mbinu za kupika.....!

chama hakina fedha za ruzuku hadi wafanya kazi wao wa mikoani wanapumulia mashine,hata mbinu mbadala ya kuzalisha kuwa na mitaji haina,inategemea kwenye kukopa kwa mbowe
 
Usingae kukuta watu wa Arusha washachoshwa na Chama cha wachaga.
 
Jaribio ovu la kuunguza ofisi limeshindwa,ofisi imeungua sehemu ndogo,inaonekana mpango ulikuwa kuunguza ofisi kwa lengo la kuunguza DATA,kwenye computer.
Mpango huu unaonekana kufanywa na Wasaliti

Yaaani we nawe kiongozi unatamka maneno mepesi sana haya!!!!!
Kuharibu computer husika was cheap kuliko kuchoma jengo!!!!

Tulia compose youself au unatamka ili kuamsha hisia za watu na kukwepa wajibu wa kutafuta chanzo?????!!!!!
 
Vijana wa lumumba bana..... thread nzima mnaongea ujinga tu.... Ujue mimi ccm mnanishangaza jambo moja tu.... Kwanini mnang'ng'ania zito aendelee kubakia chadema? Kama mnamuona anafaa sana mchukueni awe makamu mwenyekiti badala ya Mangula..... Kwanini kama mna uhakika kuwa sasa chadema inaenda kufa msitulie? Chadema ikifa si ndio itakuwa furaha kwenu???... Acheni ujinga basi.... Mmeshatimiza wajibu wenu nendeni mkachukue buku 7 zenu
 
Acha ujinga, nyie hamjui siasa. Mnasema MM2, MM3 MPAKA MM~, kwa taarifa hawa si watu watatu, wanne, hili ni kundi kubwa, tena kubwa sana. Kwa tafiti tulizozifanya (mimi na kikundi changu-watu 10) za wiki mbili za haraka haraka ambako tetesi za ***** ***** zimesikika mtandaoni katika mikoa 8- Mwanza, Kigoma, Dar, Kilimanjaro,Lindi, Arusha, Songea na Mbeya. Imeonyesha kuwa kundi hili ni zaidi ya Nusu ya wanachama wote wa CHADEMA.

Utajua ukubwa wa tatizo lililoanzishwa na Mbowe, Slaa, Mtei, Lissu na Mnyika. Na kwa taarifa walpanga kumfukuza Kbwe siku nyingi lakini Slaa ndio alikuwa anaweka kipingamizi kwa kuhofia madhara ya uamuzi huo kwa kujua uwingi wa wapenzi wa kundi la Zitto na the company.

Moto umeshawaka tabu kuuzima.
Mkuu hawa sio wafuasi wa zitto,ni ccm wote. Fungua macho yako uone vizuri.
 
CCM haoo, kama ni kweli! Kama unabisha utaona iwapo policcm watachunguza chochote! Subiri tu.

Uchawi wako peleka huko huko kwenye saccos yenu! Ccm inahusikaje? Na kwa kuwa hamna imani na jeshi la tanzania,basi karipotini Rwanda police! Ebo!
 
Vijana wa lumumba bana..... thread nzima mnaongea ujinga tu.... Ujue mimi ccm mnanishangaza jambo moja tu.... Kwanini mnang'ng'ania zito aendelee kubakia chadema? Kama mnamuona anafaa sana mchukueni awe makamu mwenyekiti badala ya Mangula..... Kwanini kama mna uhakika kuwa sasa chadema inaenda kufa msitulie? Chadema ikifa si ndio itakuwa furaha kwenu???... Acheni ujinga basi.... Mmeshatimiza wajibu wenu nendeni mkachukue buku 7 zenu

Well said wamchukue zitto wao maana kimewauma sana
 
Kwenye twitter kuna Account nimekumbana nayo chadema_ASILI wanaanikana huko....
 
Last edited by a moderator:
Jaribio ovu la kuunguza ofisi limeshindwa,ofisi imeungua sehemu ndogo,inaonekana mpango ulikuwa kuunguza ofisi kwa lengo la kuunguza DATA,kwenye computer.
Mpango huu unaonekana kufanywa na Wasaliti

Tunashukuru kamanda kwa taarifa...ila Zitto, Mwigamba, Kitila na Arfi watashindwa tu....Hitoria itawahukumu!!!!!!!!!!!!
 
ccm at work

Yaani ccm wajinga sana Nyange... Wanachoma ofisi wakishirikiana na mwigamba then wanakimbilia jf kuja kumwaga ----- wao... Si unawaona kwenyr huu uzi wanavyojibizana wenyewe kwa wenyewe!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom