MTAZAMO
Platinum Member
- Feb 8, 2011
- 20,167
- 35,733
Acha ujinga, nyie hamjui siasa. Mnasema MM2, MM3 MPAKA MM~, kwa taarifa hawa si watu watatu, wanne, hili ni kundi kubwa, tena kubwa sana. Kwa tafiti tulizozifanya (mimi na kikundi changu-watu 10) za wiki mbili za haraka haraka ambako tetesi za ***** ***** zimesikika mtandaoni katika mikoa 8- Mwanza, Kigoma, Dar, Kilimanjaro,Lindi, Arusha, Songea na Mbeya. Imeonyesha kuwa kundi hili ni zaidi ya Nusu ya wanachama wote wa CHADEMA.
Utajua ukubwa wa tatizo lililoanzishwa na Mbowe, Slaa, Mtei, Lissu na Mnyika. Na kwa taarifa walpanga kumfukuza Kbwe siku nyingi lakini Slaa ndio alikuwa anaweka kipingamizi kwa kuhofia madhara ya uamuzi huo kwa kujua uwingi wa wapenzi wa kundi la Zitto na the company.
Moto umeshawaka tabu kuuzima.
Bora chama kife kuliko Kuogopa kuchukulia watu fulani hatua hata kama ni Dr Slaa.FYI, hakuna moto utaowaka,Watazimwa kama moto wa kibatari unavyozimwa.