Ofisi ya CHADEMA mkoa wa Arusha yachomwa moto

Ofisi ya CHADEMA mkoa wa Arusha yachomwa moto

Duh mnachoma ofisi kupoteza ushahidi wa mahesabu ya fedha tehtehteh,good move CAG angewaumbua
 
Msihofu makamanda walitaka ila hawajaweza,kuna kijimoto kidogo tu nacho hakikushika,ila CHADEMA ni mpango wa MUngu.
 
Wakuu kwa haya yanayoendelea ndani ya CDM kwa sasa ni kama naona saa ya ukombozi inakwenda kinyume badala ya tulivyozoea.......au nimeanza kukata tamaa mapema niendelee kuvumilia?.........nahisi mapigo ya moyo hayapo normal.
 
Wewe nawe acha kutoka nje ya mada, hapa tunaongelea ofisi kuungua/kuchomwa moto.Period


Wewe nawe ntolee bangi za mchana hapa... Ukiusoma uzi wote utagundua kuwa lumumba team buku 7 wote mmetoka nje ya mada... Kilaza mkubwa wewe... Taahira mzee wewe!
 
kama hutaki kuamini ZZK ana nguvu sana chadema ,utakuwa victim of the saga,HUU NI MPANGO WA KUPOTEZA MAHESABU YA FEDHA ZA RUZUKU AMBAZO DR SLAA,MBOWE NA LEMA WAMEJIKOPESHA,KUMBUKA MANENO YA ZITO SIKU YA PRESS CONFERENCE "MBONA MWENZETU HUKUTUTONYA? ULIKUA UNATAKA TUAIBIKE AKIJA CAG?"

Akili yako ndipo ilipoishia.
 
Mkuu, ilishatabiriwa kuwa CHADEMA kitakufa 2013. yametimia mkuu. kufa kwa chama si kama binadamu. ni matukio tu yatakiandama

Zitto kweli ana nguvu cdm,hadi ofisi zake zinachomwa moto na mamluki wake kwa kushirikiana na maccm! hakika anatisha na ni jembe.
 
Watu wasiojulikana wamechoma moto ofisi ya Chadema Mkoa Arusha mpaka sasa bado uchunguzi unaendelea ili kubaini waliohusika na tukio hilo la kikatili.

nitaendelea kuwapa taharifa zaidi.
 
kama hutaki kuamini ZZK ana nguvu sana chadema ,utakuwa victim of the saga,HUU NI MPANGO WA KUPOTEZA MAHESABU YA FEDHA ZA RUZUKU AMBAZO DR SLAA,MBOWE NA LEMA WAMEJIKOPESHA,KUMBUKA MANENO YA ZITO SIKU YA PRESS CONFERENCE "MBONA MWENZETU HUKUTUTONYA? ULIKUA UNATAKA TUAIBIKE AKIJA CAG?"

Ana nguvu sana,yaani hadi kachoma ofisi ya cdm!!?
 
Hawa ni wahuni tu waliotumwa na ccm waliofanya upumbavu huu
 
Sema ipo moyoni mwako unasema mioyoni mwenu nanni? Au na mkeo mkuu make naona umekuwa msemaji wa wote hapa jf.

Mnatuma viongozi wenu na green guard kuja kuchoma ofisi bado mna kuja kukejeri watanzania...-------- kabisa....
 
ofisi ya chadema mkoa wa arusha imechomwa moto hivi sasa juhudi za kuuzima zinaendelea...
Picha nitaziweka muda si mrefu...
View attachment 124594
View attachment 124595
View attachment 124596
View attachment 124597
hapa ndipo walipo ingilia.....

==============
aliyeku mwanachama wa chadema (mboya) aliefukuzwa ndani ya chama na kuhamia ccm miezi minne iliyopita ambaye kwasasa ni kiongozi ndani ya ccm anashukiwa kuhusika na tukio hili kwasasa anatafutwa na polisi...

poleni sana lakini mkurugenzi wenu wa usalama si alisema hali ni shwari?

Hii ofisi ilikuwa yenu au mmepangishwa?

Hivi huyo unaesema anatafutwa na umemtaja hiyo taarifa umeotoa polisi?
 
Ana nguvu sana,yaani hadi kachoma ofisi ya cdm!!?

Ana nguvu sio mchezo manake amehujumu chama chake.... Amepanga mikakati na akina mwigulu wakalipua wasio na hatia soweto arusha.... Ameshiriki kwa namna moja au nyingine mauaji ya dr. mvungi.... ...sasa amehamia kuchoma ofisi za chama akishirikiana na green guard
 
Siasa za aina hii Mwigulu ndio anaziweza sana, ni vema angehojiwa.!!
 
Miezi michache iliopita ningeamini CCM wamefanya hivi bila shaka yoyote, leo hii pamoja na kwamba mimi CDM mashaka yangu yako humu humu ndani kwetu.
 
poleni sana lakini mkurugenzi wenu wa usalama si alisema hali ni shwari?

Hii ofisi ilikuwa yenu au mmepangishwa?

Hivi huyo unaesema anatafutwa na umemtaja hiyo taarifa umeotoa polisi?


Hata rais wa nchi mara nyingi huwa akihutubia watanzania anapenda kutuaminisha kuwa hali ni shwari ila kesho ukiamka utasikia kibanda katekwa, mvungi kakatwa mapanga.... Hakuna mwenye uwezo wa kunusa tukio gani litatokea wapi na saa ngapi ndio maana huwa kila mmoja kulingana na wakati huo ukimuuliza atakuambia hali ni shwari!. Kwani huyo mkurugenzi wa usalama chadema alinusa kama.leo ofisi itachomwa moto?


Acha kuuliza maswali ya kijinga wakati mwingine gamba wewe
 
Back
Top Bottom