Ofisi ya CHADEMA mkoa wa Arusha yachomwa moto

Ofisi ya CHADEMA mkoa wa Arusha yachomwa moto

Ni vyema chadema ikawa makini na ofisi zake zote mikoani na wilayani hujuma hii inaweza kufanywa hata na wapinzani wetu ili ionekane wafuasi wa zitto ndo wamefanya uovu huo.

Mkuu, hao wapinzani wako ni wepi? au hawa Red Brigade
 
Dah, hakika hiki chama ni cha misukule. hivi binadamu na akili zako timamu utaachaje Katibu Mkuu anapiga deal kubwa la fedha kiasi kikubwa halafu wale wanaohoji mnawaandama?

ukihoji unaitwa msaliliti na mhaini!!
 
Ndio shida ya kufanya vyama kuwa SACCOS,sasa wanachama wanataka hela zao
 
Ofisi ya chadema mkoa wa Arusha imechomwa moto hivi sasa juhudi za kuuzima zinaendelea...
picha nitaziweka muda si mrefu...
Hii ndio kete pekee ya wapinzani wa chadema kuihujumu chadema,na tena nasema sio ofisi tu jamani,hata viongozi wa chadema waangaliwe kwa ukaribu hasa viongozi wa kuu wa chama maana hujuma inaweza kufanywa kwa kiongozi yeyote akadhurika ama hata kupoteza maisha kisingizio kikawa ni wana chadema wenye hasira kali kutokana na maamuzi ya cc ya chadema,na tena nasema sio hao viongozi wa chadema tu,hata zitto mwenyewe anaweza akafanyiwa unyama wowote ikasemwa kuwa amefanyiwa na wafuasi wa mbowe .... This is very delicate moment for CHADEMA ila kwa kuwa Mungu yupo,ataepushia mbali yote .... Ila tahadhari ichukuliwe kwa nguvu zote.
 
Waabgaliwe vizur,wasije wakaichoma na ile ya UFIPA,

WAMEVURUGWA HAO JAMAA
 
wanachoma wenyewe ili wapate huruma ya wananchi,hawana lolote hao ni magaidi wakubwa,polisi mkamateni mwizi wa magari atakuwa anahusika.
 
Nakumbuka kwenye mikutano ya CHADEMA kuna kibwagizo huwa kinasema Choma choma choma, CCM..chomaaaaaa. Sasa kimehamia CHADEMA..Chomaaaaaaa, ofisi zetu... Chomaaaaaaaa

hicho kibwagizo alileta Emmanuel Makidi wa NLD kwenye mkutano wa vyama vitatu (baadaye viliongezeka) pale jangwani: kilikuwa kinaanza hivi,

moto moto motoooooooooooo,......
af watu wanaitikia CCM IUNGUEEEEE............

kwa hiyo hapo ni kwamba kuna mtu kageuza kibao
 
Huu uzi naona umevamiwa na watoto wa lumumba kazi kwelikweli
 
siku hizi hata mtu akipitiwa na batwing usiku atasingizia ZZK,jifahamu mkuu

Mkuu, unanikumbusha tukio moja wakati mbowe alipokorofishana na mkewe baada ya mbowe kuzaa na mbunge wa viti maalum. eti katika utetezi wake Mbowe akasema kuwa 'nisamehe mke wangu, ni ZITTO KABWE ndo alinishawishi'
 
Jengo lao au ndio kama kawaida miaka 20 awajajenga Ofisi yoyote ,Chama cha familia.
 
Nitasikitika kusikia kuwa kuna document muhimu zimeungua .....I smell a rat
 
Mkuu, unanikumbusha tukio moja wakati mbowe alipokorofishana na mkewe baada ya mbowe kuzaa na mbunge wa viti maalum. eti katika utetezi wake Mbowe akasema kuwa 'nisamehe mke wangu, ni ZITTO KABWE ndo alinishawishi'
Ha ha ha ha ha ha ha hao hata wakipitiwa na popobawa usiku watasema ZZK ndo kamtuma,hembu niambie kazaa na nani vile mbowe?au ni google?
 
Back
Top Bottom