Ofisi ya CHADEMA mkoa wa Arusha yachomwa moto

Ofisi ya CHADEMA mkoa wa Arusha yachomwa moto

Kama mashabiki wa ZZK ni aina hii ya kuchoma ofisi ya chadema, basi ni hatari kuliko magaidi duniani.

Zitto hafai kuwa hata monitor, tumejifunza kupitia mashabiki wake.

mkuu acha kutumia mat...ya ma------ kufikiria,post inaeleza anaye shutumiwa wewe unatoka tu mapovu
 
uzi huu mbona tumeujadili sana? au wewe ndo umesikia sasa
 
Hawa ni wahuni tu waliotumwa na ccm waliofanya upumbavu huu

Isiwe kisingizio sasa kila kitu ccm ccm ccm hata mboowe kung'ang'ania madarakani mtasema ccm ? Jifunzeni kujua tatizo ni sehemu ya utatuzi pia hii nyimbo ina miaka zaidi ya 20 sasa
 
Habari zilizonifikia ni kwamba ofisi za CDM Arusha zimeingua. Gari na Computer zimeteketea. Katibu wa Mkoa, Ndugu Amani Golugwa asema inawezekana kua ni hujuma.

Wadau wa Arusha hebu tujuzeni zaidi.
 
Hapa ndipo wapinzani wa chadema wanapokosea tena sana.

uhalibifu kwa mali za chadema na kwa upole, hekima na utulivu bila kulipiza kunakipatia sifa zaidi na heshima chadema kwa watanzania.

Hili peke yake litaibuwa hisia kwa wananchi wengi kwamba kumbe kweli kunanguvu nyuma yake na hivyo kukipa

umaarufu zaidi chadema maana mti wenye matunda matamu ndiyo hupigwa mawe.
 
Habari zilizonifikia ni kwamba ofisi za CDM Arusha zimeingua. Gari na Computer zimeteketea. Katibu wa Mkoa, Ndugu Amani Golugwa asema inawezekana kua ni hujuma.

Wadau wa Arusha hebu tujuzeni zaidi.

Wewe umeambiwa halafu unaleta habari ambayo hujui undani wake.
Hii si habari
 
Jeshi la polisi inabidi lifatilie kwa umakini yanayoendelea ndani ya chadema.... kuna viashirio vya uvunjifu wa amani.
 
Mwigamba pia lazima atakuwa anhusika kwa kiasi kikubwa na sakata hili la kuchoma moto ofisi tukufu za Chama cha wananchi Chadema..
 
Wewe nawe ntolee bangi za mchana hapa... Ukiusoma uzi wote utagundua kuwa lumumba team buku 7 wote mmetoka nje ya mada... Kilaza mkubwa wewe... Taahira mzee wewe!
umevurugwa wewe hata ukipachikwa mimba utasema buku7 wamekupachika, ndo madhara ya kugawa papuchi yako bila fomula. Kafie mbali na lichadema lako AJUZA WEWE
 
Back
Top Bottom