Official Video: Zilipendwa by All WCB Artists

Official Video: Zilipendwa by All WCB Artists

Sijutii kuwa TEAM WCB 300 yangu inaenda kihalali

[emoji445][emoji445][emoji445] diamond na wema zilipendwa[emoji445]

[emoji444]nywele za kichina zilipendwa[emoji445]

[emoji445]sikinde msondo zilipendwa [emoji445]

[emoji445]iddy amini dada zilipendwa[emoji445]

Shikamoo mond [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]



Sent using Jamii Forums mobile app
mashairi ya hyo nyimbo itakuwaje nzuri?

Hyo ni kwaya tena AIC CHANG'OMBE
 
Yaaani Kujikuta na Amani baaaa!!!
Uyu Mtoto Nyinyi....Zilipendwa
 
Watu7 wanashindana na akili ya jamaa mmoja
soko huru hili mkuu hata kiba anaruhusiwa kuchukua wasanii hata mia washindane na wcb hajakatazwa....wacha tuburudike kitu paaaaaap [HASHTAG]#tumewasoma[/HASHTAG] wcb
 
Mi naongeza verse nyingine........ kiba na diamond zilipendwa [emoji145]
[emoji106][emoji92][emoji92][emoji92]
[emoji322][emoji4][emoji122][emoji16][emoji122][emoji2][emoji322]
Congratulations!


usisahau vya kusahau kabla kusahau hAkujakusahau wewe uliye sahau
 
Mmezoea kupumuliwa hadi vibibi vyenu vinapumuliwa na Dimpozi inaonesha mbele hamwendi mnaenda nyuma tu.

Uwe makini imesimama tayari kalio lako liwe makini.
Kwanza ww ni KE maana nina mashaka na jinsia yako. Au ww ni dada mvaa vibukta mtembea na mafuta.Jiangalia utachanika makalio kupenda visivyopendwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kundi la watu 7 wanapoungana na kumshambulia mtu mmoja na kupigwa vibaya.....

Wimbo mbovu kama kwaya...Mwanzo nilidhani ni wimbo mpya wa Bony Mwaitege....

melody na beat ni kama Zezeta.
🙂🙂🙂🙂
 
Unazijua nyimbo 3000 au unaongea kama kijana wa Lumumba?
Isiwe shida kijana.

Endelea kubisha hivyo hivyo ila kwa taarifa yako diamond ana nyimbo nyingi tangu mwaka 2009 mpaka leo amezifadhi tu, nyingine akitaka kuzitoa huwa anaziongezea vionjo kidogo ili kuendana na soko lililopo au anatafuta msanii wa kumshirikisha ili kupata ladha tofauti halafu ndio anaziachia.
 
soko huru hili mkuu hata kiba anaruhusiwa kuchukua wasanii hata mia washindane na wcb hajakatazwa....wacha tuburudike kitu paaaaaap [HASHTAG]#tumewasoma[/HASHTAG] wcb
Hyo nyimbo mbovu

Hata gospel za atosha kisava hamzifikii
 
Kwanza ww ni KE maana nina mashaka na jinsia yako. Au ww ni dada mvaa vibukta mtembea na mafuta.Jiangalia utachanika makalio kupenda visivyopendwa

Sent using Jamii Forums mobile app
WCB itakufanya utoe ofa ya kalio kama alivyotoka zlatan PSG kwenda Man u, Imba na wewe kaa una pumzi sio kurukia matawi ya juu ile hali hujui hata lolote.

Pia sibishani sana na mkwe mwenza wa bi sandra.
 
Back
Top Bottom