Official Video: Zilipendwa by All WCB Artists

Official Video: Zilipendwa by All WCB Artists

Ushauri Kiba jiunge WCB la sivyo ndio unapotea hivyo....hawa jamaa sio watu wazuri kwako.....eidha achana nao salimu amri au ungana nao.
 
Wewe unayejua mziki mzuri umefanya nini cha maana kama sio kubong'oa kidomo chako kama kipini cha tako.
kazi yao ni matusi na kufosi muimba taarabu arudi juu.Hakuna njia ya mkato kupata mafanikio.Apambane kiume na sio kutumia jina la mwenzie kurudi juu.
Huwezi fananisha almasi ilojaa tuzo kwa mzee wa kale aliekimbia game akarud tena
 
Naona mpaka usiku zinatoka tu nyimbo

sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
 
Wananiiita kipusaaa [emoji445][emoji445]oooh mr misifaaa[emoji445][emoji449][emoji449][emoji449]

Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua maana ya kipusa?

03028d634fc62e5d7cdfb74d8988e7e0.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom