Official Video: Zilipendwa by All WCB Artists

Official Video: Zilipendwa by All WCB Artists

Unauza sura huku JF utaliwa bure na hiyo WCB yako, huku hatulei vilema wa akili kama zako nakushauri nenda sehemu tafuta maji kunywa yakibaki osha kalio ulale.
Kalio lako ulishaliosha au bado hujaliosha. Au unatafuta bwana mpya hapa jukwaani? Bahat mbaya sili vipusa kunuka kama ww.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MKUU KUNA MTU ALISEMA KUWA ALIKUWA AMESTAAFU MUZIKI.WAKATI HUO HUO AKAWA ANAFANYA KOLABO NA WASANII WENGINE KIBAO.AKAUNDA KUNDI NA NDUGUYE NA WAKAWA WANAFANYA NYIMBO KAMA KASWIDA.
BAADAE MTU HUYO HUYO ALITOA NYIMBO NA GABO SNOOP IKABUMA.AKATOA NYIMBO KAMA my everything IKABUMA.BAADAE AKAKIMBIA.
MARA AKARUDI TENA KWA KIGEZO KUWA ALIKUWA AMEPUMZIKA MUZIKI.HIVI MTU ANAEPUMZIKA MUSIC ANAFANYA KOLABO NA KUTOA NYIMBO???
ALIPORUDI CLOUDS WALITUMIA NGUVU KUUUUUBWA MNO KUMFANYA JAMAA AONEKANE NAE YUPO.DHARAU,CHUKI NA VISASI VIKAWA NDIO NJIA YAKE YA KUTAKA AJULIKANE KUWA KARUDI.AKAANZA KWA GIA YA HOO MI NINA SAUTI NZURI,MI NINAIMBA TANZANIA NZIMA.SIFA KEDEKEDE ANAJIPA YEYE WAKATI HATUONI LOLOTE KWENYE GAME.
CLOUDS KIUKWELI WALIJITAHIDI SANA HUKU WAKITUMIA MHIMILI WA BIFU KATI YAKE NA SIMBA MFALME WA PORI
LA MUZIKI BONGO.AKAANZA HATA KUFAHAMIKA PAMOJA NA NYIMBO NA VIDEO ZAKE KUWA MBOVU.WAKATUMIA MISINGI YA BIFU ILI TU JAMAA NAE APATE ATTENTION YA WATU.



NOTE



UKIONA MTU ANAFIKIA HATUA ANAIMBA

usiniseme kama napenda kula

BASI UJUE KUNA TATIZO KICHWANI MWAKE.HUWEZI JIITA KING KWA KUIMBA UGORO KAMA HUO.HUYO WANAEMBEZA NA KUMTUKANA KAUFANYIA MAKUBWA SANA MUZIKI HUU.
Idea ya nyimbo ya ENEKA
Ni ya nan?
 
Kama kichwa cha habari kinavyouliza nani kakopi mwingine?.

Mnijuze wakuu maana mie nipo huku kijijini KALINZI nimesikia zote zinapigwa muda huu kwenye redio mbao,Nikashindwa kujua ya nani ilianza.

kweli pasua kichwa.
 
Kwenye fiesta mashabiki utasikia
Zilipendwaaaaaaaaa

Nimeupenda wimbo huu.
 
Kama wewe mwana JF na unajua kuwachunguza baadhi ya member waliopo humu
Jf ni kichaka cha vilaza watu wanachangia kile wanachojiskia bila kuwa na mantiki
Nadhani uanze mchujo wa Id ya mtu kuwa na lebel ya Great Thinker sio wote waliopo JF wanastahili
Poor
 
Kalio lako ulishaliosha au bado hujaliosha. Au unatafuta bwana mpya hapa jukwaani? Bahat mbaya sili vipusa kunuka kama ww.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mmezoea kupumuliwa hadi vibibi vyenu vinapumuliwa na Dimpozi inaonesha mbele hamwendi mnaenda nyuma tu.

Uwe makini imesimama tayari kalio lako liwe makini.
 
Alikiba-Seduce ME

Matonya-zilipendwa.(Origina)
wcb-watu 7-zilipendwa.(copy). by the way Seduce ni international na hizo ni nymbo za zilipendwa. Mashairi yameisha. Na hii nymb yao wamekurupuka, hawakupanga kuitoa muda huu.
 
Back
Top Bottom