Official Video: Zilipendwa by All WCB Artists

Official Video: Zilipendwa by All WCB Artists

YAN WANATUMIA NGUVU KUUUBWA KUPANDISHA JUU.CLOUDS WALIMBEBA SANA KIPINDI KILE KARUDI KWENYE GAME ILA NAONA KWA SASA WAMEMBWAGA MAANA WANABEBA MTU ASIEJIELEWA...
Wamembwagaje fafanua basi nasie tupate point za kubishania huku mtaani

sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
 
Hafu wamemtaja na gwajima mzee wa kuamsha madudee eti gwajima zilipendwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ngoja ayaamshe madudee

usisahau vya kusahau kabla kusahau hAkujakusahau wewe uliye sahau
 
Kwa nini wasiachie siku nyingine wivu tu na roho mbaya
Sasa kwani amezuiliwa kuachia wimbo?

Na yeye kama vipi atoe wimbo mwingine hajakatazwa.

Hapa ni mwendo wa ngoma juu ya ngoma tu.

Halafu kama ulikuwa hujui Kiba anavizia siku akisikia Diamond anataka kuachia ngoma na yeye anatoa mapema ili mondi akitoa ionekane anataka kushindana na Kiba.

Mfano alijua fika Diamond anataka kuachia wimbo kwenye tarehe za hivi karibuni akaona awahi kutoa ili diamond akitoa ijulikane katoa kwa ajili ya kiba.
 
kazi yao ni matusi na kufosi muimba taarabu arudi juu.Hakuna njia ya mkato kupata mafanikio.Apambane kiume na sio kutumia jina la mwenzie kurudi juu.
Huwezi fananisha almasi ilojaa tuzo kwa mzee wa kale aliekimbia game akarud tena
Unaongea kwa huruma kama vile umeguswa Kism.
 
Sasa kwani amezuiliwa kuachia wimbo?

Na yeye kama vipi atoe wimbo mwingine hajakatazwa.

Hapa ni mwendo wa ngoma juu ya ngoma tu.

Halafu kama ulikuwa hujui Kiba anavizia siku akisikia Diamond anataka kuachia ngoma na yeye anatoa mapema ili mondi akitoa ionekane anataka kushindana na Kiba.

Mfano alijua fika Diamond anataka kuachia wimbo kwenye tarehe za hivi karibuni akaona awahi kutoa ili diamond akitoa ijulikane katoa kwa ajili ya kiba.
Sawa msemaji wa wcb ila kiba baba kauaaaa
 
Back
Top Bottom