Simara
JF-Expert Member
- Oct 1, 2014
- 7,613
- 24,249
Kwani vipi? unadhani kila mtu ana userious na hizi team mond & kiba? niache plzUnajichekesha nn?
Kwani vipi? unadhani kila mtu ana userious na hizi team mond & kiba? niache plzUnajichekesha nn?
Ww panakuhusu?Umu ndani Nahisi Akukuhusu...
[emoji106]Nyimbo nzima anataja majina tu
Bora nisikilize kwaya ya AIC MALAMPAKA
Diamond kuna siku ameomba ladha yako maana inaonekana ni mtaalamu wa kutoa ladha kwa wanaume.Isiwe shida kijana.
Endelea kubisha hivyo hivyo ila kwa taarifa yako diamond ana nyimbo nyingi tangu mwaka 2009 mpaka leo amezifadhi tu, nyingine akitaka kuzitoa huwa anaziongezea vionjo kidogo ili kuendana na soko lililopo au anatafuta msanii wa kumshirikisha ili kupata ladha tofauti halafu ndio anaziachia.
Mbona povu wakati tunarekebisha tuKwani vipi? unadhani kila mtu ana userious na hizi team mond & kiba? niache plz
Nime like kwa sabab tu ya haya manenoZilipendwa ni wimbo wa kawaida sana aisee!
To accomplish much you must first lose everything..
kila mtu na nafsi yake jinsi anavoisikia anavoifeel kwahiyo isilazimishe wote tuseme mbaya kisa tuu wewe umeona mbaya...kwangu mimi ni nzuri....na kaa ukijua sio kisa naisifia nyimbo ya wcb basi nipo timu wcb mimi napenda muziki bwana nyimbo ya seduce me sijaipenda ipo slow sana mimi napenda kudance zaidi hii kwangu ndo imenifikisha kwenyewe..Hyo nyimbo mbovu
Hata gospel za atosha kisava hamzifikii
Kwa uliyoandika utakuwa umezaliwa miaka ya 2000Sasa kwani amezuiliwa kuachia wimbo?
Na yeye kama vipi atoe wimbo mwingine hajakatazwa.
Hapa ni mwendo wa ngoma juu ya ngoma tu.
Halafu kama ulikuwa hujui Kiba anavizia siku akisikia Diamond anataka kuachia ngoma na yeye anatoa mapema ili mondi akitoa ionekane anataka kushindana na Kiba.
Mfano alijua fika Diamond anataka kuachia wimbo kwenye tarehe za hivi karibuni akaona awahi kutoa ili diamond akitoa ijulikane katoa kwa ajili ya kiba.
Afya yako ya akili haiko sawaUwezo wako wa kufikiri umeishia hapa?
Mkuu sio dhambi na sijatoa povu ila ulikokua unaelekea siko.Mbona povu wakati tunarekebisha tu
Au ni dhambi mm kuwa team kiba?
Sina Uhakika na hiloWw panakuhusu?
Mwanaume umeandika kwa kujishaua hvyo Mara napenda kudancekila mtu na nafsi yake jinsi anavoisikia anavoifeel kwahiyo isilazimishe wote tuseme mbaya kisa tuu wewe umeona mbaya...kwangu mimi ni nzuri....na kaa ukijua sio kisa naisifia nyimbo ya wcb basi nipo timu wcb mimi napenda muziki bwana nyimbo ya seduce me sijaipenda ipo slow sana mimi napenda kudance zaidi hii kwangu ndo imenifikisha kwenyewe..
Hi ya kulaliaAsanteee WCB, Roho yangu sasa imekuwa nyeupe, baada kuchafuliwa na takataka fulani sijui wananiita kipusa, yoooooo wananiita heartbreaker, yoooooo wananiita mzee misifa, yoooooo wananiita mzee wa kugawa madinga, yoooooooo wananita pasua kichwa, sijui ni nani aliyemtungia huu wimbo mbovu kiasi hiki.
Siasa basi