Official Video: Zilipendwa by All WCB Artists

Official Video: Zilipendwa by All WCB Artists

Aibu kubwa sana kundi la watu zaidi ya kumi kushindana na mtu mmoja,hii inadhihirisha Kiba ni threat kwao kutwa nzima wameshinda wanawaza nini cha kufanya kweli zilipendwa..... [HASHTAG]#SeduceMe[/HASHTAG]
Note:atakayenitukana ajiandae kisaikolojia coz sitamnyamazia

Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati wewe unasema wanashindana na kiba wao wanatengeneza pesa. EndeleA kukumbatia ualikiba na udayamondi
 
Mwanaume umeandika kwa kujishaua hvyo Mara napenda kudance

Kijana kuwa makini na maana mwanaume kushabikia watoboa pua ni ushoga

Alfu mbona unaandika hovyo hvyo unaandika aina gani ya Eassy?
Unayo Shida...
 
yaani ukiona watu wanaiongelea zaidi nyimbo ya wcb nakuacha nyimbo ya alikiba unaweza kuona jinsi gani wcb wanakiki zaidi..na hapa ndipo utagundua kumbe mashabiki wengi wa diamond ni wa alikiba viewers wengi wa diamond ni mashabiki wa alikiba....
 
Eeh Baada ya KingKiba kurelease smash hit Seduce Me,leo jioni Diamond kaamua kuungana na team yake nzima ya WCB na kutoa ngoma inayokwenda kwa jina la Zilipendwa!! Ipi kali kwa maoni yako?
9e27fadd469f2a6d67dfd2b315c36ce4.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NYImbo kama yupo TX William Moshi ndani
Alafu sio poa kuwadharau wahenga wa mziki kama kina Mb Doggy walionyesha njia hadi kukua kwa bongo fleva
Rubish
 
Mwanaume umeandika kwa kujishaua hvyo Mara napenda kudance

Kijana kuwa makini na maana mwanaume kushabikia watoboa pua ni ushoga

Alfu mbona unaandika hovyo hvyo unaandika aina gani ya Eassy?
tusipangiane cha kupenda ndugu yangu,kila mtu na nafsi yake anavojisikia...wewe hata uniite shoga ilimradi sibadiliki endelea tuu kuniita......nisamehe kama essay yangu mbaya unaweza kunisahihisha ndugu yangu
 
yaani ukiona watu wanaiongelea zaidi nyimbo ya wcb nakuacha nyimbo ya alikiba unaweza kuona jinsi gani wcb wanakiki zaidi..na hapa ndipo utagundua kumbe mashabiki wengi wa diamond ni wa alikiba viewers wengi wa diamond ni mashabiki wa alikiba....
kiba hana mashabiki

Bali kuna maadui wa diamond wanaomsapoti mtu yoyote anayekwenda kinyume na diamond.
 
kwanza wewe hapa unafanya nini?

Embu rudi ukajadiliane na watoto wenzako kuhusu mambo yenu ya mikopo na vyuo.
Akili za kukalili hzo

Kwan kila anaechangia kwenye Uzi wa mikopo ni mtoto au ni mwanafumzi?

Jifunze kutumia ubongo wako vzr na kwa matumizi sahihi
 
Back
Top Bottom