Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,342
- 34,747
Sikulazimishi kuamini.Acha mahaba ya kizee nyimbo 3000 unazitunza wewe au unataka kiki za kumaliza mwezi.
Ila ukweli ndio huo
Sikulazimishi kuamini.Acha mahaba ya kizee nyimbo 3000 unazitunza wewe au unataka kiki za kumaliza mwezi.
Best comment everNakubali sijui muziki lakini if it was a hit song we wouldn't have this discussion
Acha tuenjoy mziki mzurihawana akili hawa.
wana lalamika bila aibu wcb kutoa wimbo
kwani huyo kimba wao amekatazwa kutoa wimbo?
Si atoe na yeye wimbo mwingine.
Yaani tusitoe wimbo kisa huyo ngedere katoa wimbo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
zari na sara wamegoma kutoa hela ya video naona mkaamua kutolea video hapo hapo madale sio?hawana akili hawa.
wana lalamika bila aibu wcb kutoa wimbo
kwani huyo kimba wao amekatazwa kutoa wimbo?
Si atoe na yeye wimbo mwingine.
Yaani tusitoe wimbo kisa huyo ngedere katoa wimbo?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Unaongea kwa huruma kama vile umeguswa Kism.
Unauza sura huku JF utaliwa bure na hiyo WCB yako, huku hatulei vilema wa akili kama zako nakushauri nenda sehemu tafuta maji kunywa yakibaki osha kalio ulale.
soko huru ushindani tuu.....WCB bana kiba akiachia ngoma lazima na wao waachie sijui ndio nini
MKUU KUNA MTU ALISEMA KUWA ALIKUWA AMESTAAFU MUZIKI.WAKATI HUO HUO AKAWA ANAFANYA KOLABO NA WASANII WENGINE KIBAO.AKAUNDA KUNDI NA NDUGUYE NA WAKAWA WANAFANYA NYIMBO KAMA KASWIDA.Wamembwagaje fafanua basi nasie tupate point za kubishania huku mtaani
sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
Hehehehe mamamae unajifanya store manager wa wasafiAcha mahaba ya kizee nyimbo 3000 unazitunza wewe au unataka kiki za kumaliza mwezi.
Hayo ndiyo maajabu ya wasaniiINAMAANA KUNDI ZIMA LINAPAMBANA NA MTU MMOJA?
Unazijua nyimbo 3000 au unaongea kama kijana wa Lumumba?Sikulazimishi kuamini.
Ila ukweli ndio huo
Na mtoboa pua aliye imba khadija kopa umemsahau
Hahahahahaaa Kweli Pasua Kichwa, Watu 7= Mtu 1Kundi la watu 7 wanapoungana na kumshambulia mtu mmoja na kupigwa vibaya.....
Wimbo mbovu kama kwaya...Mwanzo nilidhani ni wimbo mpya wa Bony Mwaitege....
melody na beat ni kama Zezeta.
Alijuaje?Sasa kwani amezuiliwa kuachia wimbo?
Na yeye kama vipi atoe wimbo mwingine hajakatazwa.
Hapa ni mwendo wa ngoma juu ya ngoma tu.
Halafu kama ulikuwa hujui Kiba anavizia siku akisikia Diamond anataka kuachia ngoma na yeye anatoa mapema ili mondi akitoa ionekane anataka kushindana na Kiba.
Mfano alijua fika Diamond anataka kuachia wimbo kwenye tarehe za hivi karibuni akaona awahi kutoa ili diamond akitoa ijulikane katoa kwa ajili ya kiba.
Huyu ni mbumbumbu mkuu achana nae bhana.
Hehehehe eti wimbo wa bonny mwaitege dah nimecheka kama kichaaKundi la watu 7 wanapoungana na kumshambulia mtu mmoja na kupigwa vibaya.....
Wimbo mbovu kama kwaya...Mwanzo nilidhani ni wimbo mpya wa Bony Mwaitege....
melody na beat ni kama Zezeta.