Official Video: Zilipendwa by All WCB Artists

Official Video: Zilipendwa by All WCB Artists

Tukiwa tunasubiri ujio wa ngoma ya Diamond Platnumz na Patoranking itakayo tolewa rasmi wiki ijayo, WCB leo wameangusha ngoma mpya kali saaaaaaaaaaaaaana ijulikanayo kama Zilipendwa.

Humu wapo wasanii wote wa WCB kuanzia Mondi, Mavoko, Rayvan, Harmonize na mwanadada queen darlin


Kwa uhondo zaidi ingia wasafi dotcom uweze kujinunulia wimbo wako kwa sh mia tatu tu,za kitanzania.
 
Ngoma nimeipenda inaimbika na kuchezeka...WCB tabia yenu sio nzuri.....Mungu anawaona....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]

Mchana nilikunywa mataputapu sasa hivi nimeshushia bia.... Asante wasafi kwa kunitoa harufu ya mataputapu mdomoni.[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji123] [emoji123] [emoji123]
 
Sijutii kuwa TEAM WCB 300 yangu inaenda kihalali

[emoji445][emoji445][emoji445] diamond na wema zilipendwa[emoji445]

[emoji444]nywele za kichina zilipendwa[emoji445]

[emoji445]sikinde msondo zilipendwa [emoji445]

[emoji445]iddy amini dada zilipendwa[emoji445]

Shikamoo mond [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom