Official Video: Zilipendwa by All WCB Artists

Official Video: Zilipendwa by All WCB Artists

Kundi la watu 7 wanapoungana na kumshambulia mtu mmoja na kupigwa vibaya.....

Wimbo mbovu kama kwaya...Mwanzo nilidhani ni wimbo mpya wa Bony Mwaitege....

melody na beat ni kama Zezeta.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mzaramo umeua
 
ha!ha!kiba umetisha mbaya sio kwa kushambuliwa huko Na WCB hii inaonesha ila fresh mnanogesha game yetu
 
Ama kweli kila jini anashetani lake, mondi ni .mwanaintelijensia, alikiba alikuwa hajui kama mondi anakingi kategwa akategeka ahahaaaaa kaliwa mbele na nyuma kete zote kwishaaas.

WASAFIII BABY

_ where ever you are remember me_
 
Back
Top Bottom